Nimenusurika kufa jana

Nimenusurika kufa jana

Unakufaje kizembe kwa dawa ya mbu, we ni mbu???
Kuna jamaa juu kasema hivo hivo.
But keep in mind ile dawa inaweza kukufanya ukawa kama mtoto mdogo an huna kauli.

Mkuu zile dakika niliona kama miaka dawa ina hatarr mkuu
Na kinachokuua sio dawa ila ile hali ya kupaliwa
 
HIcho kisa chako kinahusiana vipi na Mungu? Kwamba waliokufa wao hawakuamini kama Mungu yupo?
Kifo ni kifo tu na ipo siku isiyo na jina utakufa my friend.
 
Wakuu wasalam..
Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana.
Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja.

Wakuu katika haya maisha kama kitu ujui boraa kuuliza tu.. maana jana ilikua ni hatari mno maana mngesikia mengine.

Huyu mtu jana alikuwa anafanya jaribio la kutaka kunitoa roho ili badae aseme ni bahati mbaya.

Usiku baada ya msosi nikasema leo ngoja nimualike antiel tuje kucheki chek movie. Vishu Mtata Sio antiel dorry huyu ni mwingine..

Usiku kavizia mimi nimelala yeye kapulizia dawa alafu yeye akatoka njee .. mi nasema alivizia maana hata sababu anazotoa mi bado sijamwelewa

Wakuu hali niliyopitia acha tuu yaani yale madawa ni kama koo linakauka alafu una paliwa mda wote..

Kilichoniokoa ni kuingia chini ya kitanda huku nikiwa nimejifunika taulo puani.
Maana mlango alifunga kwa njee.

Anakuja kufungua anatoa sababu za kijinga kijinga et alikua chooni wakuu.n Kweli chooni nusu saa .

Mimi nilitamani nipulizie dawa alafu alale na yeye ili aone show yake.

Kiufupi wakuu elimu itolewe zaidi kuhusu hizi dawa maana jana niliona kabisa nadharililika maana nusu haja zinitoke aiseee
View attachment 3196221
Wewe Infropreneur unaesema Mungu hayupo sijui mara uamini ..
Jifingie room alafu puliza huu mzigo kuna vtu utaona ndo utaamini there is someone called soul removaler au mtoa roho
Kuna mshikaji wangu damu tena ni Member wa JF aliaga Dunia miaka kadhaa imepita, kulichokutwa pale ndani baada ya siku 2 ni dawa hizi za wadudu warukao sitoitaja jina kwa nia njema. Rest easy Bro. Kenny!
 
Back
Top Bottom