Nimenusurika kufa jana

Nimenusurika kufa jana

Kuna wakati nafanya kuna wakati sifanyi. Yule mzee hakuwahi kuniambia sababu zakufanya hivyo. Ila niliwahi kusikia zile dawa za usingizi zakupuliza zina tabia ya kukimbilia kwenye maji hivyo zinaishiwa nguvu hazitakulaza fofofo.
Oky oky hapo nimepata concept kidogo..
Huwenda alilenga humo humo..

Mkuu kile kiu sitokuja kukisahau yaan hawa wanyama mbuu hi dozi tunayowapa aaah ni over aiseee
 
Back
Top Bottom