Nimenusurika kuuawa Guest house baada ya mpenzi wangu kupandisha majini

Duh ila nyie wanaume mna nyege mbaya[emoji38][emoji38]
Sio sisi wanaume tu [emoji3][emoji3] hata nyie wanawake mna upwiru wa kufa mtu ukumbuke huwa hatujito..mbi wenyewe [emoji1732][emoji1732][emoji1][emoji1]
 
Kuna kitu kikubwa sana umekisahau katika huu andishi wako.
 
Kote umeelezea vizuri, ila kuanzia hapo kwenye Warda alinyanyua kitandaa ndiyo umeharibu na kuonekana ni chai...
 
hiyo ya kukwambia unapokuwa si alikuwa anajua routine zako au hata ukienda mkoa ambao hajui anakwambia
 
pole sana baharia umepeperusha bendela vizuri sana...ila siku nyingine kabla ya mechi ukiwa unajiandaa pima oil kwanza kisha ile oil mpake utosini bila yeye kung'amua...hii mbinu nilifundishwa na mkurungwa mmoja na ni silaha yangu kubwa sana...ata demu awe na jini gani...kabla sijafanya lolote lazima nimtie kufuri huyo jini kwa oil ya papuchi
 
Ok
 
ungempakia viks Tu
 
haukuwaza kwamba yawezekana huyo pastor na huyo manzi wanafahamiana
 

Kwa Hali ilivyokuwa angenimudu katikati ya mchezo
 
Kote umeelezea vizuri, ila kuanzia hapo kwenye Warda alinyanyua kitandaa ndiyo umeharibu na kuonekana ni chai...

Mkuu kitanda kilinyanyuliwa na kuwekwa upande kiiibamizwa ukutani lilipo dirisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…