Hatari sanaKalivagaa jini
Weka picha [emoji3]Huyo Warda mwenye sio haba.
Mtoto Kama Jinni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni mzuri lakini sio Kwa level hii
Pole nduguMimi hakunambia habari za majini.
Ishu ilipoharibika ni harufu ya Udi.
Leo nimemuuliza Kwa nini hakunambia mapema, amenambia aliona ni mapema na hakutegemea Kama ingekuwa hivi
[emoji848][emoji848]Ni mzuri lakini sio Kwa level hii
Hivi kina warda wana nini? Juzi tu hapa haijaisha wiki warda msichana mrembo aliyehamia hapa kitaa alileta kizaazaa.
Hawa walimu wao wanaokaa ndani yao hawapendi atongozwe
Unaleta habari za demokrasia Syria au Somalia.
Akileta habari za majini wewe mpe mapigo ya Zombie.
Next time sema nikuletee belt umfunge miguu na mikono,kazi iendelee.
Holiday Inn au sio π π πMkuu naomba uende Posts, kuna Hoteli jina lake linaanzia na herufi H.
Wiki hii akipona uende utajionea mwenyewe
Sio huyo wa Dar ππMkuu Bora angenieleza mapema ili nijipange na code za Kikulungwa.
Lakini Kama ningeleta mzaha ningekufa amini
Kwahio we unaenda hapo hospitali kama nani?Subiri nikimgegeda.
Maana hata Kama anamajini sipo tayari kumuacha bila kumchapa