Nimenyang'anywa Watoto wangu na moyo unaniuma maana nawataka sanaa

Kama wanawake nyoko, basi wewe ni nyokoro aisee khaaaaaaa
Ulitaka nifanyaje?

Umeuelewa mkasa, uwezo hapo unatoka wapi? Niliwazaa nikiwa na nao ndani ILA.....

1. Ulitaka nibadili dini, na ILI IWEJE?
2. Ulitaka nikomae na mwenye ukimwi wake? ILI IWEJE
3. Ni mke wa mtu, ULITAKA NIKAIVUNJE NDOA YAKE?
4. Malaya wa Badoo ulitaka nioe Malaya wa social media?

#YNWA
 
Sema wote hao unashindwa kuwa na hata mmoja, tafakari sana
Ulitaka nifanyaje?

Umeuelewa mkasa, uwezo hapo unatoka wapi? Niliwazaa nikiwa na nao ndani ILA.....

1. Ulitaka nibadili dini, na ILI IWEJE?
2. Ulitaka nikomae na mwenye ukimwi wake? ILI IWEJE
3. Ni mke wa mtu, ULITAKA NIKAIVUNJE NDOA YAKE?
4. Malaya wa Badoo ulitaka nioe Malaya wa social media?

#YNWA
 
Tatizo ni wewe. Na bado mtoto wa 5 utampoteza mwaka huu
Ulitaka nifanyaje....?

1. Ulitaka nibadili dini, na ILI IWEJE?
2. Ulitaka nikomae na mwenye ukimwi wake? ILI IWEJE
3. Ni mke wa mtu, ULITAKA NIKAIVUNJE NDOA YAKE?
4. Malaya wa Badoo ulitaka nioe Malaya wa social media?

#YNWA
 
Ulitaka nifanyaje....?

1. Ulitaka nibadili dini, na ILI IWEJE?
2. Ulitaka nikomae na mwenye ukimwi wake? ILI IWEJE
3. Ni mke wa mtu, ULITAKA NIKAIVUNJE NDOA YAKE?
4. Malaya wa Badoo ulitaka nioe Malaya wa social media?

#YNWA
Nani alikutuma utembee na Malaya tena bila kinga? Condom sio kwaajili ya kuzuia ukimwi peke yake bali hata mimba. Huna tofauti na huyo malaya. Tabia yako ya kiume ya kuchovya chovya ndo iliyokuponza. Unato.mba wanawake kuridhisha hamu zako tu lkn huna future yoyote na wao. Usipobadilika utaendelea kupoteza watoto.
.
.
Kama unaamini Mungu yupo nenda ukaombewe pepo ulilonalo likutoke, upate mke mzae watoto. Hao watoto uliowapoteza wanaweza wakakutafuta baadae ingawa inaweza ikawa sio wote.
.
.
Huna tofauti na single maza mwenye watoto wanne kila mmoja na baba yake.
 
Ulitaka nifanyaje?

Umeuelewa mkasa, uwezo hapo unatoka wapi? Niliwazaa nikiwa na nao ndani ILA.....

1. Ulitaka nibadili dini, na ILI IWEJE?
2. Ulitaka nikomae na mwenye ukimwi wake? ILI IWEJE
3. Ni mke wa mtu, ULITAKA NIKAIVUNJE NDOA YAKE?
4. Malaya wa Badoo ulitaka nioe Malaya wa social media?

#YNWA

Jibu ni kwamba rekebisha mitindo yako ya mahusiano.

Yaani, ukosee wa kwanza, pili, tatu, 4?

Halafu mikasa inafanana kama ya bongo movie!
 
Hahahaha wewe legend Sana [emoji1]

Gwijiii ndio wewe [emoji1]
 
Back
Top Bottom