Gobole
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,806
- 4,670
Kung'ang'ania mtoto asie wako ht km umelea nao ni ujuha mwingine wa kujidanganya nafsi...km mtoto sio wangu ht km nimemsomesha mpaka chuo kikuu nakuachia, ntabaki kua baba yake wa kufikia. Ntamuachia mtoto aamue anataka kukaa kwa nani ila sio kumg'ang'ania coz unaweza kumkatalia siku akijitambua atamtafuta baba yake na hutakua na la kifanya...na km ni hivyo why ucheleweshe tatzo.Anaanzaje kudai kwa haki ipi aliyonayo? Akute tu mume wa bidada akubali kumwachia mtoto, mwingine hamuachii hata kama atahakikisha sio wa kwake wa kumzaa. Mtu kalea mimba, kaoa, kalea mtoto amekuwa mkubwa tayari wametengeneza bond...kwa mtu anayejitambua huyo mtoto hamuachii. Kisheria mtoto ni wa mume.