Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #101
Mungu akuniumba ili hizo roho zinitese.Sipo kiroho sana ila swala lako linahitaji msaada kiroho
kuna roho zimekushikilia,kuna vifungo/kamba zinahitaji kukatwa na kuvunjwa vunjwa
you need help brother,unapambana na visivyoonekana wa macho si rahisi kama unavyofikiri
kubali kataa rudi nyuma jichunguze angalia ulipita wapi kisha safisha vunja vunja then Start A fresh
Unaishi ktk ulimwengu flani ambao sijui kama unaelewa lakini swala lako linamuhitaji MUNGU zaidi kuliko shauri zetu.
Punguza religouspreneurship hizo za kina Mitume na manabii.
#YNWA