Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
-
- #101
Mungu akuniumba ili hizo roho zinitese.Sipo kiroho sana ila swala lako linahitaji msaada kiroho
kuna roho zimekushikilia,kuna vifungo/kamba zinahitaji kukatwa na kuvunjwa vunjwa
you need help brother,unapambana na visivyoonekana wa macho si rahisi kama unavyofikiri
kubali kataa rudi nyuma jichunguze angalia ulipita wapi kisha safisha vunja vunja then Start A fresh
Unaishi ktk ulimwengu flani ambao sijui kama unaelewa lakini swala lako linamuhitaji MUNGU zaidi kuliko shauri zetu.
Ustadhi anasema kisomoKwakweli hapa ni maombi yanahtajika sio ushauri.
Umeona sasa...Nani alikutuma utembee na Malaya tena bila kinga? Condom sio kwaajili ya kuzuia ukimwi peke yake bali hata mimba. Huna tofauti na huyo malaya. Tabia yako ya kiume ya kuchovya chovya ndo iliyokuponza. Unato.mba wanawake kuridhisha hamu zako tu lkn huna future yoyote na wao. Usipobadilika utaendelea kupoteza watoto.
.
.
Kama unaamini Mungu yupo nenda ukaombewe pepo ulilonalo likutoke, upate mke mzae watoto. Hao watoto uliowapoteza wanaweza wakakutafuta baadae ingawa inaweza ikawa sio wote.
.
.
Huna tofauti na single maza mwenye watoto wanne kila mmoja na baba yake.
Kosa langu liko wapi?Jibu ni kwamba rekebisha mitindo yako ya mahusiano.
Yaani, ukosee wa kwanza, pili, tatu, 4?
Halafu mikasa inafanana kama ya bongo movie!
Gwiji ni YANGAHahahaha wewe legend Sana [emoji1]
Gwijiii ndio wewe [emoji1]
Kosa langu liko wapi?
Ulitaka nibadili dini, ulitaka nikomae na ukimwi au ulitaka nimnyang'anye mjeda mke?
#YNWA
We umemuona huyo wa 4 na hao walionidanganya mama?Hayo mabaya yaliyomtokea nilimtabiria mimi? Mimi sio mtabiri na neno ninalosema sio lazima litokee. Ni mawazo yangu tu
Wa kwanza aliniambia niwe muislamu wewe unasema nikaombewe....Huu uzi ungekuwa ni wa mwanamke ungechangia vizuri tu, tena kwa kuponda. Jamaa ana tatizo...akaombewe na mwamposa
Shida yangu ni kukataa kuwa muislamu, kukataa ukimwi au kumwachia mjeda mke?Wewe ndio una shida jichunguze tafta mke uone maana naona utakuja kuishia pabaya kuliko baba diamond
Dinij zilikuja na mashua aisee ila misimamo yake imeharibu maisha ya wengii...Mhmm kweli umepatwa na majanga. Na mbona unapapara ya kupata mtoto Bila kuwajua wazazi au dini za umpendae?Kuhusu Mpenzi wako wa awali wa dini ya kiislamu. Nadhani itakua ngumu kwa ww kutambulika kama mzazi halali wa mtoto kama toka mwanzo ujajitbulisha kabla hajajifungua au kupata ujauzito. Kwa mujibu wa Dini ya kiislamu Mtoto ni wa mama. Hata ungekua mwislamu ni bado sio mtoto wako hawezi kurithi wala ww kutoa idhni ya kumuozesha. Hata ungekua ww ndio mwislamu na mke wako ndo mkristo. Ni bado mtoto ni wa mama akifariki ni lazma mtoto azikwe kwa dini ya mama. Yao ni kwa mujibu na msimamo wa dini ya kiislamu...
Wanawake punguzeni uongo basiiii...Ha haaa sijaona ngoja nitafute. Ila lazima umemuonea huruma na kumtia moyo..ingekuwa ni mimi nimepost shida zangu nimezaa watoto wa4 kila mmoja baba yake...my friend, ningebanwa humu bila huruma hadi nijinyonge.
Nilitaka kulea ila walikimbia kisa dini, ukimwi, mke wa mtu na siwezi oa Malaya.Anaanzaje kudai kwa haki ipi aliyonayo? Akute tu mume wa bidada akubali kumwachia mtoto, mwingine hamuachii hata kama atahakikisha sio wa kwake wa kumzaa. Mtu kalea mimba, kaoa, kalea mtoto amekuwa mkubwa tayari wametengeneza bond...kwa mtu anayejitambua huyo mtoto hamuachii. Kisheria mtoto ni wa mume.
Hapo mimi Malaya au wao walionodanganya ndio Malaya..Miaka 31 tu malaya mzoefu hivyo,utapataje sasa mwanamke wa kumuoa,hao uliotusimulia tu wengine si unajaza fuso zima,punguza zinaa ndugu
Sogea tuishi baadae wazazi watujue ndio habari ya mjini broo.Nadhani mkuu hapa ulipofika shida ni wewe.
Kwanza kuzaa zaa ovyo, na kila mwanamke unayekutana nae sio sawa.
Pili, kila mtu unayezaa naye sjui ninkama unachukulia jambo dogo sana hulipi uzito wake...yani mwanamke familia hazijuani, hakuna nini wala nini...mnadate na kuachana kama viboyfriend na vigirlfriend vya A level wakati hao ni wazazi wenzako...
Sorry to be harsh, but truth gotta be said.
My only advise ni kuwa goig forward usizae zae tu na yeyote unayekutana nae.
Sex does not have to lead to babies all the time. Otherwise tungekuwa tuna watoto kila sehemu kwa idadi isiyomakinika
Watarudi tu naamini.Kung'ang'ania mtoto asie wako ht km umelea nao ni ujuha mwingine wa kujidanganya nafsi...km mtoto sio wangu ht km nimemsomesha mpaka chuo kikuu nakuachia, ntabaki kua baba yake wa kufikia. Ntamuachia mtoto aamue anataka kukaa kwa nani ila sio kumg'ang'ania coz unaweza kumkatalia siku akijitambua atamtafuta baba yake na hutakua na la kifanya...na km ni hivyo why ucheleweshe tatzo.
Halafu mbishi Sana wewe sijui mha weweShida yangu ni kukataa kuwa muislamu, kukataa ukimwi au kumwachia mjeda mke?
Sio kwamba wanawake wanashida ya kunidanganya?
#YNWA
Una PhD in choosing mkuu?Exactly my thoughts too
Ukiachana na hao watoto wanne tu pia mwamba ana "very poor taste in choosing"
Point yangu...Halafu mbishi Sana wewe sijui mha wewe
Asante kwa kunitetea.Ndo maana sipendagi kumwaga ndan kwa mwanamke nisie kua na malengo nae.
Aya Mateso ya nafsi anayopitia mtoa mada,
Ndio wanayapitia wanaume wengi Sana Kwenye jamii tunayoishi kila siku.
Sema tu mtoa mada kajitoa muhanga kuyaelezea.
Tutavuka tu japo kwa shida kama Chadema mbele ya JPM.Kuna watu mna mikasa aisee