Nimenyoosha mikono juu

Pole my dear hili nalo litapita, utainuka Tena. Kaa karibu na Mungu yeye ndio mfariji wa kweli.
Usijikatae my dear Bado unamuda wakufanya mabadiliko.
 
[emoji2309][emoji2309][emoji2309][emoji2309]
 
Muite Mungu kwa imani yako,, tumia muda wako kumlilia yeye, ni huyo peke yake atakuvusha na kukufariji salama,, Ni huyo anakujua kuliko unavyojijua,, sie wengine tutakuongezea stress tu,
 
Dawa na kusahau hayo yoote ni muda ukijitahidi ukaweza kuvuka kwa kipindi cha miezi sita, utaona kwanini niliishi na yule asiyejua thamani yangu pole sana rafiki ila yataisha na utasimama teeena.
 
Tuanzie hapa: Je,wewe unafanya sala na unahudhuria nyumba ya ibada?! Yule mzazi mwenzako alokuwa anakusumbua ndio chanzo cha hili we fuatilia utajaamini
 
Huyu dada nimefatilia nyuzi zake nimeona ana bahati mbaya kweny mahusiano yake yote,ameteseka miaka mingi kweny hayo mahusiano yake,,ko mnaomkejeli acheni mala moja wala msimshauri arudi kwa mmewe,,mwacheni apumnzike atulize akili.

Mi namshauri atafute tu mwanaume wa kumtoa nyege asirudi kwa mmewe.
 
Kuna wanawake wanajikuta manunda snaaa....
 
Men don’t wanna try hard for women who disgust them, so they become disgusting to women who can’t respect them for being incompetent, which makes those women manifest behaviour that makes them disgusting to men and so on. So it’s just a spiralling negative feedback loop.
 
Lkn nyie wanaume mnamatatizo sana somtym sema wanawake wavumilivu sana ila wakichoka mambo ndo hugeuka
sophy27 elewa kitu kimoja dini na asili ya waafrika mwanaume ni kichwa mtawala, nadhani unaelewa nn maana ya mtawala!! Sasa wanawake wa siku hizi mnataka ligi na mtawala by nature na pia mnaingia kwenye ndoa na mentality ya kwamba mume si ndugu yako, mume lazima awe na vimada so mda wote mnakua tayari kwa mapambano yanayoharibu ndoa... Angalia mama zetu walivyodumu kwenye ndoa zao alafu angalia kizazi chetu cha haki sawa???
binafsi naamini usawa wa haki kati ya mwanaume na mwanamke ni kwenye uhai na usalama tuu mengine ni laana tupu
 
Mzima kabisa,
Tunalisongesha gurudumu hivyo hivyo kibabe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa lkn mnawaumiza sana jmn ukweli usemwe
 
Mdada tazama watotobwako, mshukuru Mungu, pambana kwa ajili yao. Wanaume tena wewe achana nao hata akirudi anatambaa na kuomba msamaha, wewe msamehe lakini usirudi kwake utaumizwa tena, cha muhimu jishughulishe na chochote kikuweke busy hata kwenda kwenye nyumba za ibada na kufanya usafi au kwa watoto yatima na kusaidia hata kufua utasahau unayopitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…