Nimenyosha mikono tz nzima watoto wakali wako moshi Kilimanjaro

Unatudhalilisha sie tusiotoka Moshi etiee??!! Mwenyewe Moshi ndio mji wako wa kwanza tu kutembelea tangu umetoka kijijini kwenu Kintinku ndio unatuletea kauli za kishamba hapa. Hiyo sensa umeifanya mikoa mingapi mpaka ufikie conclusion hiyo?
Darling punguza kuwa serious na kila kinacholetwa Jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazur ndio heshima nyingi nyege sifuri, sifur kabisa

Yani nikwambie tu huko kupata anaejua mapenz ni ngumu hatar.

But kama unafata maumbile na sauti, ok fresh.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee huyo jombi yako hamnazo anaenda kula sikukuu kwa wakwe badala ya kwenda kwao mwanza? Hata hayo watoto wake watabase zaidi upande wa mama, wasukuma mtaacha lini ushamba aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatudhalilisha sie tusiotoka Moshi etiee??!! Mwenyewe Moshi ndio mji wako wa kwanza tu kutembelea tangu umetoka kijijini kwenu Kintinku ndio unatuletea kauli za kishamba hapa. Hiyo sensa umeifanya mikoa mingapi mpaka ufikie conclusion hiyo?
Kama unajiamini njoo pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…