Wakuu
Nimejikuta nazama penzini na bibi kizee wa miaka 60,ambaye mume wake alifariki miaka mitano iliyopita, ananijari na kunipa kila kitu
Maswala ya kitandani hata binti wa under 20 akasome,kiuno kinazungushwa kama feni.
Baada ya wenge la mapenzi kuisha,nimejikuta natafakari kuwa,kuwa na mzee hivi kimapenzi kuna faida ama hasara
Nipo katika wakati mgumu sana naombeni msaada wenu.
KARIBUNI
kula mema ya bibi kizee mkuuananijari na kunipa kila kitu
Kwa kuwa ulipenda ni sahihi ila cha kufanya ni kuwa muwazi kwasasa. Mwambie ukweli kuwa unahitaji kuwa na mtu mwingine ambaye atakuwa wa level yako atakusaidia pia kupata na watoto ili uache chochote kitu bila hata ya kuachana nae huyo bibiWakuu
Nimejikuta nazama penzini na bibi kizee wa miaka 60,ambaye mume wake alifariki miaka mitano iliyopita, ananijari na kunipa kila kitu
Maswala ya kitandani hata binti wa under 20 akasome,kiuno kinazungushwa kama feni.
Baada ya wenge la mapenzi kuisha,nimejikuta natafakari kuwa,kuwa na mzee hivi kimapenzi kuna faida ama hasara
Nipo katika wakati mgumu sana naombeni msaada wenu.
KARIBUNI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiKijana tafuta hela uinjoy papuchi za vijana wenzako. Acha kudanga kwa wabibi, umeelewa?
Kabla ya kuzungusha feni ungetuomba ushauri kwa sasa umechelewaWakuu
Nimejikuta nazama penzini na bibi kizee wa miaka 60,ambaye mume wake alifariki miaka mitano iliyopita, ananijari na kunipa kila kitu
Maswala ya kitandani hata binti wa under 20 akasome,kiuno kinazungushwa kama feni.
Baada ya wenge la mapenzi kuisha,nimejikuta natafakari kuwa,kuwa na mzee hivi kimapenzi kuna faida ama hasara
Nipo katika wakati mgumu sana naombeni msaada wenu.
KARIBUNI
nataka tu kucheka kwa komenti za wadau,nina msongo wa mawazo.Unasema kweli au unatania? Sasa hapo ukitaka kupata mtoto utampataje? We ni ni kijana huyo bibi anawezaje kuvumilia kasi yako ya kupeleka moto, au unapeleka moto kizembe?
Wanaume siku hizi wanadanga kama hawana akili nzuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Nope sio Gold digger (This is for women), anyway kwa context yake this dude is a GIGOLO...Either you are a gold digger or you need counselling regarding your mental health.
Umemuita kwamba ni Bibi kizee kwa hiyo unakiri huyo ni umri sawa na mama yako aliyekuzaa. Unawezaje kumuoa mama aliye na umri sawa na mzazi wako kama siyo kujitafutia laana?
natania mkuu,si kweli.Either you are a gold digger or you need counselling regarding your mental health.
Umemuita kwamba ni Bibi kizee kwa hiyo unakiri huyo ni umri sawa na mama yako aliyekuzaa. Unawezaje kumuoa mama aliye na umri sawa na mzazi wako kama siyo kujitafutia laana?
Tutamuelewesha, asisahau kuna pisi za uswazi loji afu tano tu.Kijana tafuta hela uinjoy papuchi za vijana wenzako. Acha kudanga kwa wabibi, umeelewa?