Nimeoa Bibi wa miaka 60 mimi ni under 30. Je, ni sahihi?

Naona uzi wangu unaendelea kutrend
 
IMG-20241218-WA0000.jpg
 
Ni sahihi kabisa Mkuu.
Kwanza Hawa wa Umri mkubwa hawasumbui..
wale hata buku wanachukua, hata kama huna ukimuambia nipe mzigo unapewa kwa mkopo, lakini hawa wadogo wanataka milioni/laki, hata elfu kumi na elfu tano hawataki, wanajiona ni vigori wa kupendwa na wengi
 
Wakuu
Nimejikuta nazama penzini na bibi kizee wa miaka 60,ambaye mume wake alifariki miaka mitano iliyopita, ananijari na kunipa kila kitu

Maswala ya kitandani hata binti wa under 20 akasome,kiuno kinazungushwa kama feni.

Baada ya wenge la mapenzi kuisha,nimejikuta natafakari kuwa,kuwa na mzee hivi kimapenzi kuna faida ama hasara

Nipo katika wakati mgumu sana naombeni msaada wenu.

KARIBUNI
We dogo, acha kudanga
 
Unalelewa siyo?
 
Back
Top Bottom