Nimeoa Bibi wa miaka 60 mimi ni under 30. Je, ni sahihi?

Vigori vyote hivi..unaenda kuparamia huyo mla ugoro?
 
Wakuu

Nimejikuta nazama penzini na bibi kizee wa miaka 60,ambaye mume wake alifariki miaka mitano iliyopita, ananijari na kunipa kila kitu

Maswala ya kitandani hata binti wa under 20 akasome,kiuno kinazungushwa kama feni.

Baada ya wenge la mapenzi kuisha,nimejikuta natafakari kuwa,kuwa na mzee hivi kimapenzi kuna faida ama hasara

Nipo katika wakati mgumu sana naombeni msaada wenu.

KARIBUNI
Kama siyo kutafuta kiki ya wachangiaji, huna akili. Kawaulize wazazi wao waliotengeza bomu. Du! Huyo si ni bibi wa mama yako mwanangu? Hata mie pamoja na kumzidi umri, siwezi kufikiria achilia mbali kuoa hata kuota.
 
natafta kiki tu mkuu!
 
Wakuu

Nimejikuta nazama penzini na bibi kizee wa miaka 60,ambaye mume wake alifariki miaka mitano iliyopita, ananijari na kunipa kila kitu

Maswala ya kitandani hata binti wa under 20 akasome,kiuno kinazungushwa kama feni.

Baada ya wenge la mapenzi kuisha,nimejikuta natafakari kuwa,kuwa na mzee hivi kimapenzi kuna faida ama hasara

Nipo katika wakati mgumu sana naombeni msaada wenu.

KARIBUNI
Sahihi kabisa.
 
We jamaa itakua umaskini umetafuna ubongo wako sio bure holoholo
hahahahahaha! Katika jamii ipi mkuu inaruhusu maswala ya kijana kuoa bibi ake? Jamii ya kawaida na inayofuata misingi ya malezi bora haiwezi kufumbia macho upuuzi kama huu. Kijana nina wazazi,walezi,ndugu na jamii inayonizunguka, nikifanya jambo la aibu na kipuuzi namna hii natoa taswira gani kwa jamii hasa vijana wenzangu wanaoniangalia mimi kama kioo chao? Jamii inatakiwa ibadilike,ienende katika maadili ya kiafrika ya heshima hofu ya Mungu,vinginevyo tunaelekea kubaya na kuangamia. mimi holoholo nilileta thread hii kuona wadau wanasemaje juu ya huu ujinga,nikitarajia watalikemea kwa nguvu zao kama wanavyoupiga vita ushoga,wizi,nk badala yake ndo kwanza wengine wananiambia ni vizuri,niendelee na kejeli zingine za hapa na pale. sina tabia hiyo mkuu. samahani kama ulinichukulia kuwa mimi ni mpuuzi wa kuoa bibi yangu. Tate Mkuu Binti Sayuni03
 
Wakuu

Nimejikuta nazama penzini na bibi kizee wa miaka 60,ambaye mume wake alifariki miaka mitano iliyopita, ananijari na kunipa kila kitu

Maswala ya kitandani hata binti wa under 20 akasome,kiuno kinazungushwa kama feni.

Baada ya wenge la mapenzi kuisha,nimejikuta natafakari kuwa,kuwa na mzee hivi kimapenzi kuna faida ama hasara

Nipo katika wakati mgumu sana naombeni msaada wenu.

KARIBUNI
Hebu aje mtu mmoja AMUULIZE HUYU JAMAA MAMA YAKE ANA UMRI GANI?

Iikiwa huyo mwanamke analingana umri na mama yake, basi AMWAMBIE AMEOA MKE WA BABA YAKE.
 
manake aoe mama yake?
 
hahahahahaha! Katika jamii ipi mkuu inaruhusu maswala ya kijana kuoa bibi ake? Jamii ya kawaida na inayofuata misingi ya malezi bora haiwezi kufumbia macho upuuzi kama huu. Kijana nina wazazi,walezi,ndugu na jamii inayonizunguka, nikifanya jambo la aibu na kipuuzi namna hii natoa taswira gani kwa jamii hasa vijana wenzangu wanaoniangalia mimi kama kioo chao? Jamii inatakiwa ibadilike,ienende katika maadili ya kiafrika ya heshima hofu ya Mungu,vinginevyo tunaelekea kubaya na kuangamia. mimi holoholo nilileta thread hii kuona wadau wanasemaje juu ya huu ujinga,nikitarajia watalikemea kwa nguvu zao kama wanavyoupiga vita ushoga,wizi,nk badala yake ndo kwanza wengine wananiambia ni vizuri,niendelee na kejeli zingine za hapa na pale. sina tabia hiyo mkuu. samahani kama ulinichukulia kuwa mimi ni mpuuzi wa kuoa bibi yangu.
SASA KWANIN UTUCHOSHE KUFIKIRI NA HADITHI ZA KUTUNGA?
 
bado tunao vijana wa namna hiyo mkuu, ambao wanahitaji elimu ya jamii ili kurudi katika maadili ya kiafrika. Jf ni jukwaa huru hivyo kila jambo litawekwa kulijadili.
 
Piss kama hzi anamwachia nan..? Mpaka anaenda kwa bib ake. Uvivu tu unamsumbua ndgu yetu analelew
Nashauri vichwa vyote viwili vichapwe fimbo za maana. Uvivu wa kutosha. Basi aponee hata humu
downloadfile-70.jpg
 
Wakuu

Nimejikuta nazama penzini na bibi kizee wa miaka 60,ambaye mume wake alifariki miaka mitano iliyopita, ananijari na kunipa kila kitu

Maswala ya kitandani hata binti wa under 20 akasome,kiuno kinazungushwa kama feni.

Baada ya wenge la mapenzi kuisha,nimejikuta natafakari kuwa,kuwa na mzee hivi kimapenzi kuna faida ama hasara

Nipo katika wakati mgumu sana naombeni msaada wenu.

KARIBUNI
Nipasie mimi awe mke mdogo
 
Back
Top Bottom