holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
- Thread starter
- #61
hahahaha! Nyapu ni nyapu tu wakuu. Katika maisha yangu ukisikia natembea na mtu aliyenizidi umri,basi nikamatwe nifungwe kamba nipelekwe milembe dodoma haraka iwezekanavyo,maana itakuwa si utashi wangu bali ukichaa umeniganda. Vijana wenzangu msivutike na kuingia kingi kutokana na uzi wangu huu,nimeuandika kwa ajiri ya jokes tu.Dogo anazingua..