Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Trust me haumpendi uko na upweke,,,anaweza kuwa mrembo kama unavyosema lkn hakuna chemistry kati yenuWakuu kwema?
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.
Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata kama hazina urembo kumzidi mama watoto.
Huu ni ugonjwa au nini wakuu? Maana hadi wake za watu wengine nakuwa nawamezea mate.
Hii situation naiepukaje wakuu.?
Trust me haumpendi uko na upweke,,,anaweza kuwa mrembo kama unavyosema lkn hakuna chemistry kati yenu
Mke wako nae wanamtamani hivyohivyo ngoja nawe ugongewe ili akili ikukae sawaWakuu kwema?
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.
Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata kama hazina urembo kumzidi mama watoto.
Huu ni ugonjwa au nini wakuu? Maana hadi wake za watu wengine nakuwa nawamezea mate.
Hii situation naiepukaje wakuu.?
Kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe,,,lkn ndani ya miezi miwili tu ndani ya ndoa anahisi hivyo ujue huo ni upwekeHuyo mzinzi mkuu
Uzinzi unamsumbua anabidi afanye meditation aondoe uchafu katika imagination yake
.
Kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe,,,lkn ndani ya miezi miwili tu ndani ya ndoa anahisi hivyo ujue huo ni upweke
Baada ya kuoa na akili kurudi ktk hali ya kawaida anaona kuna gap ndio maana anataka kufidia the missing part
Hii ni kweli jinsi unavyokaa na MTU haijalishi Ana uzuri gani ila ile intimacy bond kama haipo inasababisha upweke. Mkubwa .
Na hii hali tunaipitia watu wngi Sana hapa duniani
Kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe,,,lkn ndani ya miezi miwili tu ndani ya ndoa anahisi hivyo ujue huo ni upweke
Baada ya kuoa na akili kurudi ktk hali ya kawaida anaona kuna gap ndio maana anataka kufidia the missing part
Okay,,je mahusiano yenu yakoje kwasasa ,,,namaanisha kila kitu kipo sawa au kuna sintofahamuNdoa ina over 5 years kaka. Sikua na hizo hisia kipindi cha nyuma. Ni kuanzia mwezi March ndo hii hali imenianza
Sawa mkuu nashukuruMkuu ongea na mke wako. Toka naye out nenda mazingira tofauti.
Kazaneni.
Halafu kuwa busy inaelekea una muda mwingi uko mpweke.
Hizo hisia za kupita tu.
Tuko vizuri sana. Japo kupishana mara moja moja kupoOkay,,je mahusiano yenu yakoje kwasasa ,,,namaanisha kila kitu kipo sawa au kuna sintofahamu