Nimeoa ila natamani sana wanawake wengine

Ndoa ina over 5 years kaka. Sikua na hizo hisia kipindi cha nyuma. Ni kuanzia mwezi March ndo hii hali imenianza
Mjina ila mbona kama wewe ni mishe zako?
Miaka 6 ya ndoa mbona umeshadunga sana mademu.

Tuko vizuri sana. Japo kupishana mara moja moja kupo
Kupishana ni kawaida lkn kama hakuna madhara ya kihisia ya mda mrefu

Maana wakati mwingine kama maudhi ndio yanachukua mda mwingi katika mahusiano yetu automatically mapenzi yanapungua

Ila kama kila kitu kipo sawa basi achana na hizo tamaa na tambua hakuna kitu ambacho kitafichikana milele,,linda ndoa yako na epuka aibu itakayo kukuta mbele siku za usoni
 
Wakuu kwema?

Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.

Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata kama hazina urembo kumzidi mama watoto.

Huu ni ugonjwa au nini wakuu? Maana hadi wake za watu wengine nakuwa nawamezea mate.

Hii situation naiepukaje wakuu.?
ndio huo ni ugonjwa ambao unaitwa umalaya,ni ni hulka ya wanaume wengi,ni ugonjwa mbaya sana ambao,utakuletea matatizo mengi,miongoni mwao ni:-maradhi,magomvi na mkeo,matumizi mabaya ya fedha,sasa ni uamuzi wako kuchagua
 
Wakuu kwema?

Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.

Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata kama hazina urembo kumzidi mama watoto.

Huu ni ugonjwa au nini wakuu? Maana hadi wake za watu wengine nakuwa nawamezea mate.

Hii situation naiepukaje wakuu.?
Ni umalaya tu
 
Kaka Hilo linaitwa jini mahaba. Linatesa sana
 
Wakuu kwema?

Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.

Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata kama hazina urembo kumzidi mama watoto.

Huu ni ugonjwa au nini wakuu? Maana hadi wake za watu wengine nakuwa nawamezea mate.

Hii situation naiepukaje wakuu.?
Utoto tuu
 
Hao warembo na wazuri mliooa hali ndo hiyo
Sie sura za baba tutatoboa kweli 😃
 
Wakuu kwema?

Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.

Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata kama hazina urembo kumzidi mama watoto.

Huu ni ugonjwa au nini wakuu? Maana hadi wake za watu wengine nakuwa nawamezea mate.

Hii situation naiepukaje wakuu.?
Hujapevuka
 
Siyo ugonjwa huo ndiyo uanaume na unapaswa ushinde

Ukishindwa huna ndoa dadeki
 
Back
Top Bottom