jadit
JF-Expert Member
- Oct 4, 2019
- 273
- 212
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miezi mbili tu mzee unalalama namna hii?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni wa kuundia tume kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miezi mbili tu mzee unalalama namna hii?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni wa kuundia tume kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui huwa ni kitu gani, uvivu au uchafu!Sio kuoga tuu mkuu hata kupiga mswaki wakati wakulala nivita yaani duuu wanaume mnakwama wapi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee uchafu wa hali ya juu tena kiwango cha rami.Sijui huwa ni kitu gani, uvivu au uchafu!
Ukipenda boga penda na maua yake. EndNina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa
1: Ku deal Na wakwe Na mashemeji
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini utakoma.af shida zao zote zinakua zako
2: Kula chakula ambacho amependa mke wako siku hiyo.
unaeza toka kwenye miangaiko siku hyo ukawa Na hamu ya ugali samaki ila ukakuta kapika kande la nazi, af anaanza kusifia sifia lilivyo tamu.inakeraa
Saa nyingine ukimpgia simu mapema umwambie apike nn anakwambia ashanunua vifaa,hata kama bado atakudanganya ilimradi apike anachotaka kula siku hyo
3: Kuwekewa maji ya kuoga af siku hyo hutak hata kuyaona maji.
utaskia honey nshakuekea maji kaoge,dah inakera Na huezi kataa
4: Kukosa uhuru
ukipigiwa simu tu ukamaliza kuongea unaanza kuulizwa alikua nan?
Hapo unaanza kujieleza inform of essay
To be continued......
Watoto wa mama hao, maana wangekuwa wa Baba wangeishi kibaba Baba![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee uchafu wa hali ya juu tena kiwango cha rami.
Harufu mpaka nmalize sku tatu,tena itasikika pale ntakapofanya shughuli ya kunitoa jashoHuna harufu?
[emoji28][emoji1787][emoji1787]kuna watu wachafuhuyo mwenzio ulitafutiwa??
unaonesha ulivo chanongo yan kuwekewamaji ukaoge nako ni kero kisa hutaki kuoga!!mna kazi
Number tatu ni kwa kila mtu aki[emoji3][emoji3]Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa
1: Ku deal Na wakwe Na mashemeji
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini utakoma.af shida zao zote zinakua zako
2: Kula chakula ambacho amependa mke wako siku hiyo.
unaeza toka kwenye miangaiko siku hyo ukawa Na hamu ya ugali samaki ila ukakuta kapika kande la nazi, af anaanza kusifia sifia lilivyo tamu.inakeraa
Saa nyingine ukimpgia simu mapema umwambie apike nn anakwambia ashanunua vifaa,hata kama bado atakudanganya ilimradi apike anachotaka kula siku hyo
3: Kuwekewa maji ya kuoga af siku hyo hutak hata kuyaona maji.
utaskia honey nshakuekea maji kaoge,dah inakera Na huezi kataa
4: Kukosa uhuru
ukipigiwa simu tu ukamaliza kuongea unaanza kuulizwa alikua nan?
Hapo unaanza kujieleza inform of essay
To be continued......
DuuhNina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa