Nimeoa nina miezi miwili lakini naona kero kwa mambo haya

mbona mambo madogo tu hayo wala yasikunyime raha mkuu
 
Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa

1: Ku deal Na wakwe Na mashemeji
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini utakoma.af shida zao zote zinakua zako

2: Kula chakula ambacho amependa mke wako siku hiyo.
unaeza toka kwenye miangaiko siku hyo ukawa Na hamu ya ugali samaki ila ukakuta kapika kande la nazi, af anaanza kusifia sifia lilivyo tamu.inakeraa

Saa nyingine ukimpgia simu mapema umwambie apike nn anakwambia ashanunua vifaa,hata kama bado atakudanganya ilimradi apike anachotaka kula siku hyo

3: Kuwekewa maji ya kuoga af siku hyo hutak hata kuyaona maji.
utaskia honey nshakuekea maji kaoge,dah inakera Na huezi kataa

4: Kukosa uhuru
ukipigiwa simu tu ukamaliza kuongea unaanza kuulizwa alikua nan?

Hapo unaanza kujieleza inform of essay

To be continued......
af ndio Nini?
Hebu acha ujinga
Mtu hujui hata kuandika jamani
Kumbe kweli time ya uchaguzi haijawaonea watu
Watu hamjui kuandika hata kiswahili?
Nimeshi dwa kuendelea kusoma
 
Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa

1: Ku deal Na wakwe Na mashemeji
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini utakoma.af shida zao zote zinakua zako

2: Kula chakula ambacho amependa mke wako siku hiyo.
unaeza toka kwenye miangaiko siku hyo ukawa Na hamu ya ugali samaki ila ukakuta kapika kande la nazi, af anaanza kusifia sifia lilivyo tamu.inakeraa

Saa nyingine ukimpgia simu mapema umwambie apike nn anakwambia ashanunua vifaa,hata kama bado atakudanganya ilimradi apike anachotaka kula siku hyo

3: Kuwekewa maji ya kuoga af siku hyo hutak hata kuyaona maji.
utaskia honey nshakuekea maji kaoge,dah inakera Na huezi kataa

4: Kukosa uhuru
ukipigiwa simu tu ukamaliza kuongea unaanza kuulizwa alikua nan?

Hapo unaanza kujieleza inform of essay

To be continued......
hahahah sijaoa ila Hiyo namba 3 I can feel it
 
Piga chini huyo mke, talaka zipo kwa ajili ya waliooa, ukiona vitu vidogo vidogo vinakukera usipoteze muda
 
Kwa hiyo mkuu we masuala ya kuoga huyataki kabisa
 
Mkuu hapo unaanza maisha mapya ambayo hukuyategemea kwanza kama ulikuwa mtu wa misele tu saizi anza kuandaa sababu unaenda wapi na kufanya nini na upo na nani na ulionao wife lazima awe anawafahamu,kuoga hata kama ujisikii kuoga utaambiwa maji tayari kaoge,suala la chai na mikate na maandazi anza kuzoea,kama wife anapenda dagaa zilizochanganywa na nyanya chungu na bamia utaambiwa ni nzuri na akipata mimba hapo mziki wake ni mwingine kabisa,jambo la msingi vitu vingine chukulia kawaida tu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Una kisirani.

Na kwa kisirani hiki, I think your wife is pregnant.
 
Ulilazimishwa kuoa?.

4.Kama hamna baya kwenye simu uliyoongea nayo mbona huwa ni rahisi tu kushare...
 
Vitu ambavyo mim sipend:-
1.kuulizwa unaenda wapi au uko wap
2.ukimaliza kuongea na sm lazma ujieleze

Hilo la kuoga,hata mim nilpataga shda sana,unalazimishwa kuoga wakat toka asubuh nmeshnda ndani tu,yaan sjatoka hata jasho lakin unaambiwa kuoga
Huna harufu?
 
Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa

1: Ku deal Na wakwe Na mashemeji
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini utakoma.af shida zao zote zinakua zako

2: Kula chakula ambacho amependa mke wako siku hiyo.
unaeza toka kwenye miangaiko siku hyo ukawa Na hamu ya ugali samaki ila ukakuta kapika kande la nazi, af anaanza kusifia sifia lilivyo tamu.inakeraa

Saa nyingine ukimpgia simu mapema umwambie apike nn anakwambia ashanunua vifaa,hata kama bado atakudanganya ilimradi apike anachotaka kula siku hyo

3: Kuwekewa maji ya kuoga af siku hyo hutak hata kuyaona maji.
utaskia honey nshakuekea maji kaoge,dah inakera Na huezi kataa

4: Kukosa uhuru
ukipigiwa simu tu ukamaliza kuongea unaanza kuulizwa alikua nan?

Hapo unaanza kujieleza inform of essay

To be continued......
Wewe sio muoaji mkuu bado ujana unakusumbua unapoamua kuoa au kuolewa inapaswa uachane namambo yote yadunia sasa wewe unaonekana bado means unataka ufanye unachokitaka wewe wakati tayari mko wawili nammeishakuwa mwili mmoja poleeee ILA TAMBUA UJANA NIMAJI YAMOTO HAUTAKUFIKISHA POPOTE KAMA UNAONA HUYO MWANAMKE KAWA KERO MUACHE MTOTO WAWATU ENDELEA NA USELA WAKO.
 
Vitu ambavyo mim sipend:-
1.kuulizwa unaenda wapi au uko wap
2.ukimaliza kuongea na sm lazma ujieleze

Hilo la kuoga,hata mim nilpataga shda sana,unalazimishwa kuoga wakat toka asubuh nmeshnda ndani tu,yaan sjatoka hata jasho lakin unaambiwa kuoga
Kwanini nisikuulize wakati wewe mme wangu akuuuuu kwahilo baba nilegezeee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom