Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mkuu analeta usela wa Ghettohuyo mwenzio ulitafutiwa??
unaonesha ulivo chanongo yan kuwekewamaji ukaoge nako ni kero kisa hutaki kuoga!!mna kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu analeta usela wa Ghettohuyo mwenzio ulitafutiwa??
unaonesha ulivo chanongo yan kuwekewamaji ukaoge nako ni kero kisa hutaki kuoga!!mna kazi
Ukapela raha sana mzee baba... naona unatamani siku zirudi nyumaNina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa
1;Ku deal Na wakwe Na mashemeji
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini utakoma.af shida zao zote zinakua zako
2;kula chakula ambacho amependa mke wako siku hiyo.
unaeza toka kwenye miangaiko siku hyo ukawa Na hamu ya ugali samaki ila ukakuta kapika kande la nazi, af anaanza kusifia sifia lilivyo tamu.inakeraa
Saa nyingine ukimpgia simu mapema umwambie apike nn anakwambia ashanunua vifaa,hata kama bado atakudanganya ilimradi apike anachotaka kula siku hyo
3;kuwekewa maji ya kuoga af siku hyo hutak hata kuyaona maji.
utaskia honey nshakuekea maji kaoge,dah inakera Na huezi kataa
4;kukosa uhuru
ukipigiwa simu tu ukamaliza kuongea unaanza kuulizwa alikua nan?
Hapo unaanza kujieleza inform of essay
To be continued......
Kaolea Tamaa ya ngonohuyo mwenzio ulitafutiwa??
unaonesha ulivo chanongo yan kuwekewamaji ukaoge nako ni kero kisa hutaki kuoga!!mna kazi
Kwani kuoga kuna shida gani bro?, Hadi uone ni kero.Vitu ambavyo mim sipend:-
1.kuulizwa unaenda wapi au uko wap
2.ukimaliza kuongea na sm lazma ujieleze
Hilo la kuoga,hata mim nilpataga shda sana,unalazimishwa kuoga wakat toka asubuh nmeshnda ndani tu,yaan sjatoka hata jasho lakin unaambiwa kuoga
Kaolea Tamaa ya ngono
Mwanaume unaona Keri kupelekewa maji bafuni aisee
Wee mwanaume WA wapi Tuanzie hapo
Hata kuwajibu shemeji zako kiujanja Kwa kuwaadaa kuwapigia baadae ndo mazima hujui
Kuoga Kuna hatua nying ndo huwa szipend kama sjatoka jasho:-Kwani kuoga kuna shida gani bro?, Hadi uone ni kero.
huyo bado mvulanaUtasema alilazimishwa kuoa,
Halafu kama kitu hupendi si unamwambia mwenzako kuliko kuja kulalamika mtandaoni
ahahahaha labda shemale loh
Nahisi hii ni chai ya tangawiziahahahaha labda shemale loh
ni chai imepoa kabisaa mwanaume kamili hawezi fanya huu ujinga hiki bado kivulana tu
Wewe nawe unasema mbona hautaki kumfulia mtarajiwa nguo. Mimi siku nikioa nitahakikisha natengeneza uzio wa hatari kati yangu na shemeji zangu na hata wakwe lazima kuwepo na adabu.Mkuu...Acha uchafu.. nani anataka kulala na mwanaume ananuka kama beberu..uwe unaoga...mchafu kunuka we.
Wew ni me au ke?Mie siwezi lala bila kuoga Hata kama nimeshinda bedroom