Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naunga mkono kwenye kero kuhusu kuoga! Wadau humu wamehamaki ulivyoijumuisha lakini binadamu hatufanani, ni asili tu ilitokea wengine kuoga kuwa changamoto!Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa
1;Ku deal Na wakwe,mashemeji Na mawifi
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini utakoma.af shida zao zote zinakua zako
2;kula chakula ambacho amependa mke wako siku hiyo.
unaeza toka kwenye miangaiko siku hyo ukawa Na hamu ya ugali samaki ila ukakuta kapika kande la nazi, af anaanza kusifia sifia lilivyo tamu.inakeraa
Saa nyingine ukimpgia simu mapema umwambie apike nn anakwambia ashanunua vifaa,hata kama bado atakudanganya ilimradi apike anachotaka kula siku hyo
3;kuwekewa maji ya kuoga af siku hyo hutak hata kuyaona maji.
utaskia honey nshakuekea maji kaoge,dah inakera Na huezi kataa
4;kukosa uhuru
ukipigiwa simu tu ukamaliza kuongea unaanza kuulizwa alikua nan?
Hapo unaanza kujieleza inform of essay
To be continued......
Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa
1;Ku deal Na wakwe,mashemeji Na mawifi
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini utakoma.af shida zao zote zinakua zako
2;kula chakula ambacho amependa mke wako siku hiyo.
unaeza toka kwenye miangaiko siku hyo ukawa Na hamu ya ugali samaki ila ukakuta kapika kande la nazi, af anaanza kusifia sifia lilivyo tamu.inakeraa
Saa nyingine ukimpgia simu mapema umwambie apike nn anakwambia ashanunua vifaa,hata kama bado atakudanganya ilimradi apike anachotaka kula siku hyo
3;kuwekewa maji ya kuoga af siku hyo hutak hata kuyaona maji.
utaskia honey nshakuekea maji kaoge,dah inakera Na huezi kataa
4;kukosa uhuru
ukipigiwa simu tu ukamaliza kuongea unaanza kuulizwa alikua nan?
Hapo unaanza kujieleza inform of essay
To be continued......
Usimfokee mwenzio hivyo! [emoji35] Au unataka tufukue makaburi yako kwamba una kunguni chini ya mto?Mkuu...Acha uchafu.. nani anataka kulala na mwanaume ananuka kama beberu..uwe unaoga...mchafu kunuka we.
Ni Bora Sasa aolewe tuHuyo kwa kifupi hakuwa tayari kuoa muda bado kawahi tu
Hivi huyu ni mwanamme au ke?huyo mwenzio ulitafutiwa??
unaonesha ulivo chanongo yan kuwekewamaji ukaoge nako ni kero kisa hutaki kuoga!!mna kazi
Una jinsia mbili?Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa
1;Ku deal Na wakwe,mashemeji Na mawifi
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini utakoma.af shida zao zote zinakua zako
2;kula chakula ambacho amependa mke wako siku hiyo.
unaeza toka kwenye miangaiko siku hyo ukawa Na hamu ya ugali samaki ila ukakuta kapika kande la nazi, af anaanza kusifia sifia lilivyo tamu.inakeraa
Saa nyingine ukimpgia simu mapema umwambie apike nn anakwambia ashanunua vifaa,hata kama bado atakudanganya ilimradi apike anachotaka kula siku hyo
3;kuwekewa maji ya kuoga af siku hyo hutak hata kuyaona maji.
utaskia honey nshakuekea maji kaoge,dah inakera Na huezi kataa
4;kukosa uhuru
ukipigiwa simu tu ukamaliza kuongea unaanza kuulizwa alikua nan?
Hapo unaanza kujieleza inform of essay
To be continued......
Miezi mbili tu mzee unalalama namna hii?[emoji23][emoji23][emoji23]Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa
1;Ku deal Na wakwe,mashemeji Na mawifi
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini utakoma.af shida zao zote zinakua zako
2;kula chakula ambacho amependa mke wako siku hiyo.
unaeza toka kwenye miangaiko siku hyo ukawa Na hamu ya ugali samaki ila ukakuta kapika kande la nazi, af anaanza kusifia sifia lilivyo tamu.inakeraa
Saa nyingine ukimpgia simu mapema umwambie apike nn anakwambia ashanunua vifaa,hata kama bado atakudanganya ilimradi apike anachotaka kula siku hyo
3;kuwekewa maji ya kuoga af siku hyo hutak hata kuyaona maji.
utaskia honey nshakuekea maji kaoge,dah inakera Na huezi kataa
4;kukosa uhuru
ukipigiwa simu tu ukamaliza kuongea unaanza kuulizwa alikua nan?
Hapo unaanza kujieleza inform of essay
To be continued......
Kama haukuwa tayari kufunga "PINGU" za maisha ulitakiwa usubiri. Inaonekana hupendi anachokipenda mkeo, na yeye hapendi unachokipenda. Kifupi mmeoana ambao hamuwezi kuvumiliana, ukumbuke hii ni miezi miwili tu bado kuna miaka kadhaa mbele yenu.Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa
1;Ku deal Na wakwe,mashemeji Na mawifi
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini utakoma.af shida zao zote zinakua zako
2;kula chakula ambacho amependa mke wako siku hiyo.
unaeza toka kwenye miangaiko siku hyo ukawa Na hamu ya ugali samaki ila ukakuta kapika kande la nazi, af anaanza kusifia sifia lilivyo tamu.inakeraa
Saa nyingine ukimpgia simu mapema umwambie apike nn anakwambia ashanunua vifaa,hata kama bado atakudanganya ilimradi apike anachotaka kula siku hyo
3;kuwekewa maji ya kuoga af siku hyo hutak hata kuyaona maji.
utaskia honey nshakuekea maji kaoge,dah inakera Na huezi kataa
4;kukosa uhuru
ukipigiwa simu tu ukamaliza kuongea unaanza kuulizwa alikua nan?
Hapo unaanza kujieleza inform of essay
To be continued......
Aisee unashangaza sana,maana huyo mkeo ni kama ulimuokota au ulipewa,kwani huwezi kuongea nae mambo madogomadogo kama hayo mkaelewana?Nina miezi miwili nimeoa ila hizo ndo kero ambazo nakutana nazo,na kiukweli zinakeraaa
1;Ku deal Na wakwe,mashemeji Na mawifi
kuna mashemej ni wasumbufu asee,yaani anaeza kupigia simu af hana cha maana Na akaforce muongee nusu saa Na huezi mkatia simu.tena bora awe mjini wakiwa wa vijijini utakoma.af shida zao zote zinakua zako
2;kula chakula ambacho amependa mke wako siku hiyo.
unaeza toka kwenye miangaiko siku hyo ukawa Na hamu ya ugali samaki ila ukakuta kapika kande la nazi, af anaanza kusifia sifia lilivyo tamu.inakeraa
Saa nyingine ukimpgia simu mapema umwambie apike nn anakwambia ashanunua vifaa,hata kama bado atakudanganya ilimradi apike anachotaka kula siku hyo
3;kuwekewa maji ya kuoga af siku hyo hutak hata kuyaona maji.
utaskia honey nshakuekea maji kaoge,dah inakera Na huezi kataa
4;kukosa uhuru
ukipigiwa simu tu ukamaliza kuongea unaanza kuulizwa alikua nan?
Hapo unaanza kujieleza inform of essay
To be continued......
mie nimehisi atakua me mana hua ndio wana desturi ya kutengewa maji ya kuogaHivi huyu ni mwanamme au ke?
1. Amesema mawifi
2. Anajisema ni me
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Tatizo hupendi kuoga mkuu [emoji23] ku-solve matatizo yako inabidi uoge, ikiwezekana uwe unalala kwenye bath-tub au beseni kubwa.
Nimegundua hupendi kuoga, kutokuoga ndiyo chanzo cha kuchukia kande; kande zinahitaji mwili mwepesi wakati wa kula, pia ukiwa huogi huwezi kuwa na mazungumzo mazuri, ukioga unaweza kuongea na simu hata lisaa.
Ukiwa unaoga hautaitwa tena maji tayari maana utakuwa unapenda kwahiyo utaweka maji mwenyewe. Ukiwa unaoga hutapata muda wa kuongea na simu karibu na mke wako maana muda mwingi utakuwa bafuni hivyo hutaulizwa maswali na utakuwa ukitoka kuoga muda ni wa kujiandaa na kutoka.
OGA MKUU! [emoji23]