Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hiyo namba mbili inaonyesha ni jinsi gani wewe na mkeo hamna mawasiliano kitu ambacho inawabidi mubadilike.
Labda nikwambie tu ndoa nzuri ni ile yenye masikizano na hata maelewano hivyo sio mbaya mkajijengea tabia ya kuzungumza na huyo mkeo kabla hajapika mkaelewana kile chakula ambacho kila mmoja atakifurahia kwa siku hiyo ndo kikawa kinapikwa.
Na ndio ndoa zipo hivyo, hapo mtaifurahia kila siku.