Nimeokota mayai ya bundi

Ukila unakua na akili sana mayai ya bundi ni mazuri yanaongeza nguvu za kiume😂
 
Aisee
 
Mrejesho


Mimi Nina nyumba yangu porini ,naitumia msimu Wa kilimo .

Kwa mda mrefu sikua nimeenda lkn najua kua bundi hua analala humu,na mara nyingi nlikua namkuta alfajiri nikiwai shamba


Aisee Leo katika kupekua pekua nakutana na bundi kakaa mkao WA kuatamia baada ya kumtimua ndio nagundua kumbe alikua kaatamia mayai
 

Attachments

  • IMG_20230801_171622_811.jpg
    934.6 KB · Views: 6
Dunia ya sasa habari bila picha/video clip sawa na takataka tu
 
Mayai
 

Attachments

  • IMG_20230803_164207_891.jpg
    947.6 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…