myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Yanaliwa?...Habarini wakuu, poleni na mihangaiko.
Leo katika pita pita zangu shambani nimebahatika kuokota mayai ya bundi. Kwa wajuvi wa mambo nawiwa kuuliza hivi mayai ya bundi huliwa?
Au kama Kuna mtu anayataka kwa shughuli zake binafsi anitafute.
Wazo lililopo kichwani ni kwenda kuuza kwa waganga wa jadi. Naomba kuwasilisha!
#Rip Bandari