Nimemueleza kosa lake na huyu dada kakiri tamaa imemponza,mbaya zaidi katika charts zaoinaonekana hawajafanya chochote ila huyu dada kaombwa kinyume na maumbile na kaahidinkumpa jamaa!Hukutakiwa kumtafuta mwenye picha na badala yake ungemtafuta mwenye sim. Hapo umeshamharibia jamaa na mwanamke atakua hajiamini maana anaweza kuhisi mmejifowadia picha hizo na kuzitumia kumchota vijisenti kila mkichacha.
Nimemueleza kosa lake na huyu dada kakiri tamaa imemponza,mbaya zaidi katika charts zaoinaonekana hawajafanya chochote ila huyu dada kaombwa kinyume na maumbile na kaahidinkumpa jamaa!
Wewe rudisha Simu ya watu acha tamaa za wanawake inaelekea mzuka umekupanda baada ya kuona hiyo picha ukaona bora ujifanya mshauri nasaha kwa huyo ticha ili umleNimemueleza kosa lake na huyu dada kakiri tamaa imemponza,mbaya zaidi katika charts zaoinaonekana hawajafanya chochote ila huyu dada kaombwa kinyume na maumbile na kaahidinkumpa jamaa!
mapenzi yakikolea wanajikuta wamepigaHivi huwa wanawaza nini kupiga picha na nyuchi zao zikiwa tupu.
Kuna jamaa alileta uzi humu akiwa anasema mwanamke akisoma sana ndio anakua MJINGA/MPUMBAVU.
Nilikua simwamini ila sasa naanza kumuamini kwa mbali.
Kama wewe ni mwanamke basii hii ni proof ingine. Siwezi walaumu maana ndivyo mlivyo.Huyu dada ana phd ya nini kwani?