Nimeokota vyeti vya Baraka D Ninarwo, anayemfahamu Tuwasiliane

Nimeokota vyeti vya Baraka D Ninarwo, anayemfahamu Tuwasiliane

Data.....
Umekosea, yapo mambo ya kukosoa na kuyatafutia ukweli wake...si mambo MUHIMU NA YA DHARULA....
Ikiwa umewahi kuacha bahasha yenye vyeti vyako hata hotelini tu na kupiga hatua chache kisha kukumbuka na ukarudi utajua nini maana ya mtu huyo kutangaza haraka na kwa namna alivyopokea....
Turudi kwa mada husika..... mtu anayemfahamu Baraka sasa ni wakati muafaka kuwasiliana naye...
 
Kuna mtu kaokota vyeti vya Shule na Chuo vya Ndg. BARAKA D. NINARWO kwa yeyote anayemfahamu amwambie apigie Simu no. 0767 66 24 86 ili apewe vyeti vyake.
Tumaini na Ikizu sec. na Butimba TTC.

Nimetuma kama nilivyotumiwa.

VIPELEKE NECTA NA NACTA KUNA MTU NILIKUTANA NAE KWENYE BASI POSTA MWENGE ALINIAMBIA ALIVISAHAU KWENYE TAX NAE ALISOMA TTC, BAHATI SINA KONTAKTI ZAKE, NILIMWELEKEZA TARATIBU ZA KUFUATA NIKAMWAMBIA ATANGAZE GOV GAZETI MARA 3, AWE NA LIPOTI POLIS YA UPOTEVU KISHA AANDIKE BARUA KWA KATIBU MTENDAJI NECTA AAMBATANISHE NA VIVULI VYA MATANGAZO YA GOV GAZETI NA LOSE RIPOT YA POLISI,AENDE NAVYO NECTA.KWA NGAZE YA VYETI VYA O NA A LEVEL, KWA UPANDE WA VYUO AANZIE CHUON KWAKE KISHA NACTE.sasa sijui kama alienda au laa.kama alienda basi ukivikabidhi hapo watamtafuta.au la vipeleke kwenye chuo alichosomea mkuu wake wa chuo au shule watamtafuta. msaidie huyo bwana vyeti ndo jembe la mjini.
 
Kama mnaweza post na sehemu zingine

Kuna mtu kaokota vyeti vya shule na chuo vya Ndg. BARAKA D. NINARWO kwa yeyote anayemfahamu amwambie apigie simu no. 0767 66 24 86 ili apewe vyeti vyake
Tumaini na ikizu sec. Na butimba ttc.
nimetuma kama nilivyotumiwa
 
Mungu akubariki kwa moyo wa kibinadamu uliouonesha kwa kitendo hiki.
 
Huyo jamaa aliyepoteza vyeti namfaham..nimeshampa namba zako atakupigia..asante sana kwa roho yako nzuri Mungu akubariki sana.
 
Kama mnaweza post magrup zingine

Kuna mtu kaokota vyeti vya shule na chuo vya Ndg. BARAKA D. NINARWO kwa yeyote anayemfahamu amwambie apigie simu no. 0767 66 24 86 ili apewe vyeti vyake
Tumaini na ikizu sec. Na butimba ttc.
nimetuma kama nilivyotumiwa
 
Kuna vyeti vya SHULE VYA ELIMU YA SEKONDARI na CHUO vya Ndugu BARAKA D. NINARWO vimeokotwa mahala.
Kama yuko humu JamiiForums au kuna ndugu yake yeyote au kuna mtu yeyote anayemfahamu mtu huyo naomba anitumie PM.

Asanteni.
 
Hebu weka mwaka aliomaliza Butimba TTC maana na mimi nimesoma pale. Tunaweza kutafuta walliokuwa naye intake moja.
 
🔴🔵TANAGAZO🔵🔴

Kama mnaweza post magrup zingine

Kuna mtu kaokota vyeti vya shule na chuo vya Ndg. BARAKA D. NINARWO kwa yeyote anayemfahamu amwambie apigie simu no. 0767 66 24 86 ili apewe vyeti vyake
Tumaini na ikizu sec. Na butimba ttc.
nimetuma kama nilivyotumiwa
 
Hebu weka mwaka aliomaliza Butimba TTC maana na mimi nimesoma pale. Tunaweza kutafuta walliokuwa naye intake moja.

Tangazo limetoka tangu january hapa,ina maana muda wote huo bado hajapatikana tu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom