Naomba umshauri, angesema wapi labda?
umetumiwa na umeamini hadi ukaleta hapa. Akili fupi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umetumiwa na umeamini hadi ukaleta hapa. Akili fupi.
umetumiwa na umeamini hadi ukaleta hapa. Akili fupi.
Kuna mtu kaokota vyeti vya Shule na Chuo vya Ndg. BARAKA D. NINARWO kwa yeyote anayemfahamu amwambie apigie Simu no. 0767 66 24 86 ili apewe vyeti vyake.
Tumaini na Ikizu sec. na Butimba TTC.
Nimetuma kama nilivyotumiwa.
Atakapovipata mtuambie manake tunaisambaza hii sms kwenye WhatsApp pia kila group...
Mkiwepo kumi km ww.....hatutakuwa na akina Prof Muhogo sijui Muongo
Kuna vyeti vya SHULE VYA ELIMU YA SEKONDARI na CHUO vya Ndugu BARAKA D. NINARWO vimeokotwa mahala.
Kama yuko humu JamiiForums au kuna ndugu yake yeyote au kuna mtu yeyote anayemfahamu mtu huyo naomba anitumie PM.
Asanteni.
Hebu weka mwaka aliomaliza Butimba TTC maana na mimi nimesoma pale. Tunaweza kutafuta walliokuwa naye intake moja.