Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

NEMA1234

Member
Joined
Jan 12, 2025
Posts
9
Reaction score
24
Habarini jamvini?

Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi yoyote,akipata kibarua anaenda kama wiki hivi anaacha.

Biashara ndogondogo hataki kufanya kabisa,mzigo wote unaniangukia mimi kila kitu ni mimi,chakula,ada,bills zote ni mimi yeye yupo tu anashinda nyumbani kulala na kijiweni na ni msomi tu mzuri, sasa nimechoka nataka kudai talaka bora ijulikane sijaolewa kuliko haya nnayoptia kama vile mimi ndo nimeoa,

Before talaka nimechukua uamuzi ufuatao,ni mwaka sasa nimemhama chumba,nimeacha mfulia wala kujihusisha na chochote kimhusucho nimemwondoa house girl simwachii chakula cha asubuh wala mchana,anavizia cha usiku na weekends ndo anakula.

Hana pressure kabisaaa ameridhika sasa nataka nianze mchakato wa talaka mapema nitue huu mzigo nioge nirudi sokoni kwa tahadhari ya hali ya juu.

Naombeni ushauri.
 
Kumbe uko sokoni unajiuza?
 
Fukuzia mbali huyo Mshenzi....anaharibu maisha yake asikuharibie na wewe.

Kazi zipo nyingi hata saluni tu akifungua atanyoa kichwa buku buku na hela atapata.

Kwanza mtaje ni wa mkoa gani ili tumjue kabisa.
Habarini jamvini?

Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi yoyote,akipata kibarua anaenda kama wiki hivi anaacha.

Biashara ndogondogo hataki kufanya kabisa,mzigo wote unaniangukia mimi kila kitu ni mimi,chakula,ada,bills zote ni mimi yeye yupo tu anashinda nyumbani kulala na kijiweni na ni msomi tu mzuri, sasa nimechoka nataka kudai talaka bora ijulikane sijaolewa kuliko haya nnayoptia kama vile mimi ndo nimeoa,

Before talaka nimechukua uamuzi ufuatao,ni mwaka sasa nimemhama chumba,nimeacha mfulia wala kujihusisha na chochote kimhusucho nimemwondoa house girl simwachii chakula cha asubuh wala mchana,anavizia cha usiku na weekends ndo anakula.

Hana pressure kabisaaa ameridhika sasa nataka nianze mchakato wa talaka mapema nitue huu mzigo nioge nirudi sokoni kwa tahadhari ya hali ya juu.

Naombeni ushauri.
 
nitue huu mzigo nioge nirudi sokoni
... Wewe maamuzi umeshayafanya tayari so sidhani kama ushauri wowote wa kuyajenga wewe na mwenzio utamake sense kwako.

So fuata utaratibu wa talaka, ili utue mzigo uende kuoga zako vizuri urudi sokoni tu😅😅😅.

NB: Usiache kutuwekea Uzi wa kutujuza ukishaoga zako vizuri na kurudi sokoni... Asante.
 
Back
Top Bottom