Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

Nimeolewa ama nimeoa? Naombeni ushauri

Kazi anapata anaenda kama wiki mbili hivi anaacha mwisho wanamtimua na ni jeuri sana hataki hata kuelekezwa huko kazini anataka afanye anachotaka yeye.hadi anapigana.
Mmh!? Hapo kuna tatizo zaidi ya hilo ulilolileta hapa. Hebu jitahidi kuzingatia yaliyosemwa ktk komenti # 88 Satisfy
 
Ni shida kweli kweli. Hapo utakuwa ksshampiga mumewe matukio. Upendo wa kweli ni adimu sana siku hizi maana ndani ya upendo wa kweli kuna tunda la uvumilivu.
Huyo mume n mvumilivu sana tena inaonekana ana msongo mkubwa wa mawazo kuhusu kinachondelea baina yake na huyo mke wake. Huyo mke angetulia na kuchukua hatua chanya za namna ya kumsaidia huyo mume badala ya kumzidishia maumivu kwa kumnyima chakula, kutomfulia nguo hadi kumtelekeza chumba cha peke yake. Huo ni ukatili na unyanyasaji. Mke amekosa uvumilivu na moyo wa huruma. Hana hofu ya Mungu rohoni mwake.
 
Mianaume sasa inavoteteanaaaa
Hatuteteani aisee. Nyumba (Familia) yenye uwepo wa mwanaume ina heshima yake. Huwezi kukuta nyumba yenye mwanaume "inatembelewa" kimasihara au kusemwa hovyo - Never. Lakini tazama nyumba isiyo na mwanaume- Utasikia "aaah hapo ni kwa cha wote" au utasikia "Woi, hapo linaishi jimama papa fulani hv."
 
Back
Top Bottom