Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
Acheni maneno magumu,wajibikeni katika familia zenuKumbe uko sokoni unajiuza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni maneno magumu,wajibikeni katika familia zenuKumbe uko sokoni unajiuza?
Halafu unamnyima mtu hata chakula anaweza vipi kuwa na itimamu wa kufanya kazi,wewe ukiondoka mwachie hata 5000 ya nauli atajiongeza, psychological hawezi kuwa sawa ni vizuri uzungumze nae maneno mazuri ya kumfariji.
Hataki anasema namchukuliaje kumwambia afanye biashara hizo,nyie nimejaribu kila mbinu.Kuna wanawake toka wameolewa wapo nyumbani hawajawahi toa hata mia yao
Wengine wamefunguliwa biashara kadha wa kadha zimekufa
Lakini hakuna mwanaume anakuja jukwaani kuwananga
Ila rudi siku hiyo mwambie mkeo huna kazi au Anza likizo mwambie tumeachishwa kazi kwa muda usiojulikana uone moto wake......
Kama bi dada una kazi mpe mumeo kamtaji hata ka Banda la matunda au juice ya miwa au ukopee maake nyie ni mwili mmoja....
Zingatia nenonataka nianze mchakato wa talaka mapema nitue huu mzigo nioge nirudi sokoni
Sikiza na pole .......Hataki anasema namchukuliaje kumwambia afanye biashara hizo,nyie nimejaribu kila mbinu.
hatuwajibiki kwa wanaojiuza, aoge arudi tu sokoni alikotolewaAcheni maneno magumu,wajibikeni katika familia zenu
Sawahatuwajibiki kwa wanaojiuza, aoge arudi tu sokoni alikotolewa
Vijana na hivi ndivyo wanawake wote walivyo wewe unaweza ukamuoa hana kazi ukamlisha miaka yote hadi uzee wake lakini yeye miaka8 tiyari kashamkimbia mwanaume.Na hapo kaongea uongo 89% miaka8 hakuna mwanaume wakulala na kwenda kijiweni.Habarini jamvini?
Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi yoyote,akipata kibarua anaenda kama wiki hivi anaacha.
Biashara ndogondogo hataki kufanya kabisa,mzigo wote unaniangukia mimi kila kitu ni mimi,chakula,ada,bills zote ni mimi yeye yupo tu anashinda nyumbani kulala na kijiweni na ni msomi tu mzuri, sasa nimechoka nataka kudai talaka bora ijulikane sijaolewa kuliko haya nnayoptia kama vile mimi ndo nimeoa,
Before talaka nimechukua uamuzi ufuatao,ni mwaka sasa nimemhama chumba,nimeacha mfulia wala kujihusisha na chochote kimhusucho nimemwondoa house girl simwachii chakula cha asubuh wala mchana,anavizia cha usiku na weekends ndo anakula.
Hana pressure kabisaaa ameridhika sasa nataka nianze mchakato wa talaka mapema nitue huu mzigo nioge nirudi sokoni kwa tahadhari ya hali ya juu.
Naombeni ushauri.
Maskini Mshkaji alidhani kaoa Mke mwema kumbe Kurumbembe ona Ona sasa linavommyoosha.Habarini jamvini?
Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi yoyote,akipata kibarua anaenda kama wiki hivi anaacha.
Biashara ndogondogo hataki kufanya kabisa,mzigo wote unaniangukia mimi kila kitu ni mimi,chakula,ada,bills zote ni mimi yeye yupo tu anashinda nyumbani kulala na kijiweni na ni msomi tu mzuri, sasa nimechoka nataka kudai talaka bora ijulikane sijaolewa kuliko haya nnayoptia kama vile mimi ndo nimeoa,
Before talaka nimechukua uamuzi ufuatao,ni mwaka sasa nimemhama chumba,nimeacha mfulia wala kujihusisha na chochote kimhusucho nimemwondoa house girl simwachii chakula cha asubuh wala mchana,anavizia cha usiku na weekends ndo anakula.
Hana pressure kabisaaa ameridhika sasa nataka nianze mchakato wa talaka mapema nitue huu mzigo nioge nirudi sokoni kwa tahadhari ya hali ya juu.
Naombeni ushauri.
Ahaaa jamani jamani wanaume wengine wanasulubika duniani hukuBefore talaka nimechukua uamuzi ufuatao,ni mwaka sasa nimemhama chumba,nimeacha mfulia wala kujihusisha na chochote kimhusucho nimemwondoa house girl simwachii chakula cha asubuh wala mchana,anavizia cha usiku na weekends ndo anakula.😒
Sheria ya NDOA ya Tanzania (Law of Marriage Act [Family Law] CAP. 29 R.E 2019) inamtaka Mwanaume ndiye mwenye jukumu la kutunza familia.Siujui ushirikina kabisa,najishusha sana tuzungumze lakini hataki ananyanyuka anaondoka,jibu lake huwa kama naona hana kazi niende kwa wanaume wenye kazi.baada ya ushauri humu ndani itabidi niende kwa kiongozi wetu wa dini amwite tusikilizwe kwa pamoja.
Haya si ndo mnayosema wanaume wawafanyie? Sasa kibao kimegeuka unaona nongwa? Hebu onja hapo walau kidogo mapito ya wanaume wenu nyie mlioolewa. Mnadai 50/50. Nadhani kwa sasa kutokana na uzoefu ulopata hapo; unaweza kutoa ushauri mzuri zaidi kwa wanawake wenzako wanaoishi maisha ya unyumba. Au sio.Habarini jamvini?
Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi yoyote,akipata kibarua anaenda kama wiki hivi anaacha.
Biashara ndogondogo hataki kufanya kabisa,mzigo wote unaniangukia mimi kila kitu ni mimi,chakula,ada,bills zote ni mimi yeye yupo tu anashinda nyumbani kulala na kijiweni na ni msomi tu mzuri, sasa nimechoka nataka kudai talaka bora ijulikane sijaolewa kuliko haya nnayoptia kama vile mimi ndo nimeoa,
Before talaka nimechukua uamuzi ufuatao,ni mwaka sasa nimemhama chumba,nimeacha mfulia wala kujihusisha na chochote kimhusucho nimemwondoa house girl simwachii chakula cha asubuh wala mchana,anavizia cha usiku na weekends ndo anakula.
Hana pressure kabisaaa ameridhika sasa nataka nianze mchakato wa talaka mapema nitue huu mzigo nioge nirudi sokoni kwa tahadhari ya hali ya juu.
Naombeni ushauri.
Sheria iko sawa. Lakini pia tusisahau baba huyo anafanya kazi japo sio zote. Kwa mfano joka likiingia ndani utamsikia mama akiguta kumwita mume wake "Baba naniliu, njoo haraka huku kuna dui...." au kumetokea changamoto fulani utamsikia mama akiuliza "Sasa baba naniliu, hapo unasemaje au unashauri tufanye nini?" Kwa maneno mengine naona huyo mama anataka kile anachotaka yy ndo kifanyike na sio vinginevyo. Anonesha kutaka kumkandamiza i.e. Kuwa kichwa kwa mume wake. Hiyo haikubaliki. Kama mume alishamruhusu akatafute au aende kwa wanaume/mabwana wenye kazi mbona hatekelezi hilo ila anakuja kumyanyapaa (stigmatise) huku Jf eti simfulii, simpi chakula, nimemtenga chumba n.n.k vitu ambavyo ni makosa makubwa kumnyanyasa mume wake kutokana na mapito anayopitia.Sheria ya NDOA ya Tanzania (Law of Marriage Act [Family Law] CAP. 29 R.E 2019) inamtaka Mwanaume ndiye mwenye jukumu la kutunza familia.
Ingawa mwanamke anaweza kuwa na kipato wakashirikiana lakini iwapo mwanaume anakiuka ama kukwepa jukumu la msingi la Family Maintenance anakuwa anatenda kosa.
Unachoweza kufanya, anza ngazi ya familia, kaa na wazazi ama walezi wake mzungumze pamoja na endapo hakutakuwa na matunda basi viongozi wa dini wahusike. Kisha SHERIA ihusike
Ongeza mke wa pili.Habarini jamvini?
Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni mwanamke sijui kama nimeolewa ama nimeoa huyu mwanaume yapata miaka 8 sasa toka ameachishwa kazi yupo tu nyumbani hataki kufanya kazi yoyote,akipata kibarua anaenda kama wiki hivi anaacha.
Biashara ndogondogo hataki kufanya kabisa,mzigo wote unaniangukia mimi kila kitu ni mimi,chakula,ada,bills zote ni mimi yeye yupo tu anashinda nyumbani kulala na kijiweni na ni msomi tu mzuri, sasa nimechoka nataka kudai talaka bora ijulikane sijaolewa kuliko haya nnayoptia kama vile mimi ndo nimeoa,
Before talaka nimechukua uamuzi ufuatao,ni mwaka sasa nimemhama chumba,nimeacha mfulia wala kujihusisha na chochote kimhusucho nimemwondoa house girl simwachii chakula cha asubuh wala mchana,anavizia cha usiku na weekends ndo anakula.
Hana pressure kabisaaa ameridhika sasa nataka nianze mchakato wa talaka mapema nitue huu mzigo nioge nirudi sokoni kwa tahadhari ya hali ya juu.
Naombeni ushauri.
Mke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.Habarini jamvini?