Nimeolewa ila huyu mkaka mbaya sana

Nimeolewa ila huyu mkaka mbaya sana

alafu ukute umeolewa kwa mahari na bikra huna .inauma sana
 
Jamani huyu katumia lugha gani hii mbona sielewi kabsa uzi wake....au kwa kuwa mie kilaza nini.
 
Mimi natumia darkmode kwenye jamii forum, whatsapp, twitter na fb. Wewe je?
 
Matatizo ya kuandika uzi huku mnapiga story unakoswa hata namna ya kupangilia chai yako.
 
Back
Top Bottom