Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasema kaolewa na kibabu mwenye hela ila kuna kijana mwenye six parts anamtamani.Aliyeelewa atoe 'samari'
Wewe ndiyo mume, mke au mchepuko...?
Why twende kenya nikakupe manzi safi akukande kichwa uache kuwaza hewa .Mambo ni mabaya sana katoto kazuri
Kumbe umesanukaalafu ukute umeolewa kwa mahari na bikra huna .inauma sana
Mahari ilikuwa ml30 nikuonyeshe chekialafu ukute umeolewa kwa mahari na bikra huna .inauma sana
W
Why twende kenya nikakupe manzi safi akukande kichwa uache kuwaza hewa .
😂😂😂😂😂😂Hebu tulia uandike kwa kiswahili.
Atulie aandike vizuriAnasema kaolewa na kibabu mwenye hela ila kuna kijana mwenye six parts anamtamani.
Kashindwa kutulia na babu yake unampa kazi ya kutulia tena?Atulie aandike vizuri
Mtarajiwa😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 Eeh kweli nisimchoshe tenaKashindwa kutulia na babu yake unampa kazi ya kutulia tena?
Labda kaolewa janaJuni 3 umeweka uzi wa kukuta kondom kwa mchumba Leo hii unae mume!