Nimeolewa ila huyu mkaka mbaya sana

Nimeolewa ila huyu mkaka mbaya sana

acha tamaa,tulia na mume wako....huyo mwarabu ataishia kukufutua mtaro tu.
 
Nimeelewa tu ulipojibu kuwa wewe ni nkenya. Mengine nayaangalia tu
 
Zero minded wanasumbua na wewe unajiachia tu!
Unataka ndoa au unataka mchepuko?
 
Ukae ukijua jamii ya huo mchepuko wako wanapenda kufungua vizibo mithili ya wine. Linda Marinda yako tulia na mumeo maana kwa ufundi walio nao utaliwa tigo kimasihara kisha utapoteza mume kwa ujinga wako
 
Muda mwingine binadamu tunapaswa tuwe na heshima na maadili. Hivi unajisikiaje kuandika MAMBO haya mtandaoni kumdhalilisha mume wako hata kama hajui? Ukute kipindi unaandika anakusubiri ukamtengee maji akoge baada ya kutoka kazini akakuvumilia akijua unafanya ka maana kumbe unamdhalilisha humu? Dharau haimaanishi hadi mtu ajue unayemfanyia hivyo hata kwa siri nafsini bado kufanya vile ni kumkosesha heshima mume au mke wako.

Kutafuta uahauri kama huu ndo kuna sababisha ongezeko la michepuko na matokeo yake ni makubwa, kila siku ndoa zinavunjika ama watu kujiua kisa usaliti, just imagine ukawa na mtu mnajuana nae humu physically achana na hii ya nicknames kwani naamini humu tunakutana mtaani na pm kwa kupenda hoja za michepuko huenda kuna mtu anakujua awe ni KE au ME je unamwamini kiasi kwamba hawezi ku expose huu ujumbe wako?

Wanaume kuunga MKONO hoja hii ni kuruhusu michepuko iendelee, tulia kwa ndoa yako kama unataka kufanya dhambi hiyo ifanye kimya kimya na huyo Unayemuona leo wa thamani wakati kipindi ukiwa singo hakufanya hivyo hapa ndo UCHIZI wa walio wengi, unakuta mtu ulikuwa nae ukimwambia nataka kuoa au kuolewa anasema yeye bado then miaka inasogea unabahatisha kidume unaolewa then unaanza kumtamani huyo CHIZI na ukikutana nae anakupa maneno ya KICHIZI ooh uliniacha nilikuwa nakupenda sijawahi kuona nawewe kwa UCHIZI wako unapokea maneno hayo ya KICHIZI toka kwa CHIZI mwenzio.

Mapenzi haya duh! Kweli Binadamu hatosheki!
 
Ndio nitapoteza tena kwa ujinga wangu.
Hujakosea
 
Sent using Jamii Forums mobile app
True ila naomba ushauri tu wa kumuepuka
 
True ila naomba ushauri tu wa kumuepuka
Usione heko mume wako kujipendekeza mbele ya mchepuko wako, kisaikolojia umemtesa sana mume wako,hupaswi hata kuleta jamvini kwani I can guess the consequences ,

Mshukuru mungu umepata mwanaume anayekupenda, hebu achana na mchepuko na kama itakubidi kufanya hivyo hakuna haja ya kutangazia umma, humu mitandaoni kuna mengi, usipotumiq akili kubwa unaweza beba yote ya kukuharibu tu, epuka sifa za watu wasiokujua, stay na mume wako huyo ndo uliamua kumkabidhi moyo wako, usimtese hata kwa nafsi, Mungu anakuona, hebu be focused and am proud you're chagga woman as you once said, seek money hustle enough to feed your kids, michepuko has nothing to do with progress rather than wasting your time dear!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewee kutulia ni ile siku huna pumzii wewe ni msichana damu inachemka nikitaka atagongewa tu penda,asipende ila shida ni mmoja mi MKE WA MTU namsimamo mme wangu ananijali ananipenda mikasi anajua vizuri sina haja ya kuliwa liwa ovyo hapa na changamsha genge mapenzi yapo na akifa kwa uzee basi navaa chupi ya chuma.
Mbona nilipokuwa single alikuwa kafunga vioo nimeolewa ndio anamadai kashusha tenti.
Sisi wachaga tunaakili ya mbeleni natunasoma ramani sio uchi hatudati na choo tunadata na nyumbaa.
Ok mdogo wangu. Endelea kukazana.
 
Weka picha yako tuone kama wewe ni kazuri kweli.
Usikute kanyaboya tu
 
Wewee kutulia ni ile siku huna pumzii wewe ni msichana damu inachemka nikitaka atagongewa tu penda,asipende ila shida ni mmoja mi MKE WA MTU namsimamo mme wangu ananijali ananipenda mikasi anajua vizuri sina haja ya kuliwa liwa ovyo hapa na changamsha genge mapenzi yapo na akifa kwa uzee basi navaa chupi ya chuma.
Mbona nilipokuwa single alikuwa kafunga vioo nimeolewa ndio anamadai kashusha tenti.
Sisi wachaga tunaakili ya mbeleni natunasoma ramani sio uchi hatudati na choo tunadata na nyumbaa.
Kwa comment, jamaa alikuta bikra. Bas sawa
 
Back
Top Bottom