katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
- Thread starter
- #61
Unanilipa umeombwa usome sepa huko mwenyewe jini kashkash unashida sana.utajifunza lini kuandika kilaza wewe, hamna thread ambayo umewahi kuianzisha humu jf ikaeleweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanilipa umeombwa usome sepa huko mwenyewe jini kashkash unashida sana.utajifunza lini kuandika kilaza wewe, hamna thread ambayo umewahi kuianzisha humu jf ikaeleweka
Si rahisi kumwelewa kahaba hata aolewe.aliyemuelewa anieleweshe mi nalala jomoni usikumwema
Ndio nitapoteza tena kwa ujinga wangu.Ukae ukijua jamii ya huo mchepuko wako wanapenda kufungua vizibo mithili ya wine. Linda Marinda yako tulia na mumeo maana kwa ufundi walio nao utaliwa tigo kimasihara kisha utapoteza mume kwa ujinga wako
Eh!Wazuri wasio na akili huumiza sehemu za siri
True ila naomba ushauri tu wa kumuepukaMuda mwingine binadamu tunapaswa tuwe na heshima na maadili. Hivi unajisikiaje kuandika MAMBO haya mtandaoni kumdhalilisha mume wako hata kama hajui? Ukute kipindi unaandika anakusubiri ukamtengee maji akoge baada ya kutoka kazini akakuvumilia akijua unafanya ka maana kumbe unamdhalilisha humu? Dharau haimaanishi hadi mtu ajue unayemfanyia hivyo hata kwa siri nafsini bado kufanya vile ni kumkosesha heshima mume au mke wako.
Kutafuta uahauri kama huu ndo kuna sababisha ongezeko la michepuko na matokeo yake ni makubwa, kila siku ndoa zinavunjika ama watu kujiua kisa usaliti, just imagine ukawa na mtu mnajuana nae humu physically achana na hii ya nicknames kwani naamini humu tunakutana mtaani na pm kwa kupenda hoja za michepuko huenda kuna mtu anakujua awe ni KE au ME je unamwamini kiasi kwamba hawezi ku expose huu ujumbe wako?
Wanaume kuunga MKONO hoja hii ni kuruhusu michepuko iendelee, tulia kwa ndoa yako kama unataka kufanya dhambi hiyo ifanye kimya kimya na huyo Unayemuona leo wa thamani wakati kipindi ukiwa singo hakufanya hivyo hapa ndo UCHIZI wa walio wengi, unakuta mtu ulikuwa nae ukimwambia nataka kuoa au kuolewa anasema yeye bado then miaka inasogea unabahatisha kidume unaolewa then unaanza kumtamani huyo CHIZI na ukikutana nae anakupa maneno ya KICHIZI ooh uliniacha nilikuwa nakupenda sijawahi kuona nawewe kwa UCHIZI wako unapokea maneno hayo ya KICHIZI toka kwa CHIZI mwenzio.
Mapenzi haya duh! Kweli Binadamu hatosheki!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usione heko mume wako kujipendekeza mbele ya mchepuko wako, kisaikolojia umemtesa sana mume wako,hupaswi hata kuleta jamvini kwani I can guess the consequences ,True ila naomba ushauri tu wa kumuepuka
Ok mdogo wangu. Endelea kukazana.Wewee kutulia ni ile siku huna pumzii wewe ni msichana damu inachemka nikitaka atagongewa tu penda,asipende ila shida ni mmoja mi MKE WA MTU namsimamo mme wangu ananijali ananipenda mikasi anajua vizuri sina haja ya kuliwa liwa ovyo hapa na changamsha genge mapenzi yapo na akifa kwa uzee basi navaa chupi ya chuma.
Mbona nilipokuwa single alikuwa kafunga vioo nimeolewa ndio anamadai kashusha tenti.
Sisi wachaga tunaakili ya mbeleni natunasoma ramani sio uchi hatudati na choo tunadata na nyumbaa.
Green meremetaMimi natumia darkmode kwenye jamii forum, whatsapp, twitter na fb. Wewe je?
Kwa comment, jamaa alikuta bikra. Bas sawaWewee kutulia ni ile siku huna pumzii wewe ni msichana damu inachemka nikitaka atagongewa tu penda,asipende ila shida ni mmoja mi MKE WA MTU namsimamo mme wangu ananijali ananipenda mikasi anajua vizuri sina haja ya kuliwa liwa ovyo hapa na changamsha genge mapenzi yapo na akifa kwa uzee basi navaa chupi ya chuma.
Mbona nilipokuwa single alikuwa kafunga vioo nimeolewa ndio anamadai kashusha tenti.
Sisi wachaga tunaakili ya mbeleni natunasoma ramani sio uchi hatudati na choo tunadata na nyumbaa.