Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Asikupasue KICHWA Chako Huyo, Hana Cha Ulokole Wowote, Ni Muuza Ngini Tu!!!
 
Tupe mrejesho wa leo jioni itakuwaje...??

Au siku ukimpa hilo sebene litakuwaje ..?
 
Hajaokoka huyu wala hajui maana ya wokovu iman yake amepeleka wap mungu anachokwa kuombwa
 
we ni jipu
mmeo akusave jipu
Kichaa jipu
Kazini wakusave jipu
Kanisani we ni jipu
wakusave jipu
Jf wew n jipu
comment & thread zako jipu
Namimi nakuita jipu au siyo jamn huyu C ni jipu???????????????????????????!!!!!!!!!
 
Laiti angejua..
 
Kuna nguvu za kichawi maeneo hayo, vichaa wakati mwingine inaashiria uwepo wa uchawi.

Kinacho nishangaza kwenye scenerio yako, mwehu anapiga punyeto, ninavyo juwa, mtu akiwa kichaa, hisia za kimapenzi huondoka. Kwa kuwa huyu anagmfanya namna hiyo kuna muingiliano na nguvu za kichawi.

Kwa kuwa kumekuwa na hisia za kimapenzi kati ya ninyi wawili, hivyo tambua haya yanaweza kukutokea.

1. Kuharibika kwa ndoa yako
2. Kuharibu hadhi yako
3. Kuingia kwenye msongo wa mawazo.
4. Kuchanganyikiwa na kuwa kichaa.
5. Inawezekana ikawa chanzo cha kifo chako.

Shetani ameniya mabaya juu yako, chukua hatua.

1. Uwe na muda wa kutosha, wa kuomba angalau saa moja kwa siku, pia uwe na muda wa kufunga na kuomba, kusoma neno.

2. Tafuta mtumishi wa Mungu unaye muamini akusaidie.
 
mshana Jr ingia ndani haraka..
 
ipo siku atakuja na Bandiko kuwa Ameitamani ya Punda baada ya kuwaona wakipandana..

Uisome mkuu Eli79
 
Hatariii........shetani anafanya kampeni
 
Mkwe, unatafuta dawa wakati unayo mkononi? nakushangaa kabisa kwani nakuona kuwa unanyemelewa na pepo la uzinzi hapo. kemea na chukua hatua thabiti za kiroho. hatua zinazotakiwa ni:
1. Jitambue (unawindwa roho yako) ndiyo maana ni kama kichaa anakulenga wewe tu na siyo wengine.
2. Umeshauriwa hapo juu kwama epuka mazingira yale ambayo siamini kuwa masaa yote uyo kichaa kazi yake ni hiyo tu kuchezea nyeti.
3. Jitahidi wakati wa "kula" ukala ukashiba ili hata baadaye usiangukie kutamani "majalalani". Kama huli ukashiba mkwe, jua dirisha hilo hilo litageuka mlango wa uzinzi kwenye ndoa yako. Tena umesema ni miezi miwili tu tangu kuhalalishiwa 'lishe kamili'. take care
5. Usiwe muigizaji church, kwani kuna hatari nyingi sana za uigizaji kanisani - itakugharimu siku moja.
Kwa leo ni hayo tu mkwe, labda kama una swali jingine
 
Yaani unapita na kumkuta anajichua unaanza kumshangaa!!!....angekubaka???....kwanini hukubadili njia???....shetani anataka kukuangamiza....
Na hata akiwa ofisini anamuwaza.Kuna vitu unaavoid tu mwenyewe.
 
nimesoma thiredi yako, then nikaangalia avata yako....jibu nililopata ni hili....shetani yuko kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…