miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
usiseme hivyo mkuu hata kichaa na haki ya kupendwa jamani loh.. naye anahisiakweli penzi halichagui. huyo lazima pepo mchafu kakuvaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiseme hivyo mkuu hata kichaa na haki ya kupendwa jamani loh.. naye anahisiakweli penzi halichagui. huyo lazima pepo mchafu kakuvaa
Asikupasue KICHWA Chako Huyo, Hana Cha Ulokole Wowote, Ni Muuza Ngini Tu!!!Ni sawa. Lakini amekosea sehemu ya kuomba ushauri. Humu kuna watu wa kila aina..na ninaamini walokole ni wachache ukilinganisha na wasio walokole. Dini pia zipo tofauti humu jf. Amekosea sehemu ya kuomba ushauri...mi nadhani angestick huko huko kwenye ulokole, ushauri atafute huko huko. Kuna watu hata hawajui ulokole ni kitu gani so hawawezi kumshauri vizuri..sana sana atapata negative comments tu ambazo zinazidi kumpeleka kwa shetani.
Mpendwa anaamini katika aombae hupewa, sasa huyo hajaomba hambaluluTeh teh..Huyu mpendwa ampatie tu huyo jamaa Hambalulu..
Kasema bichwa!Kuwa na mashine kubwa raha sana, hahaha!!
Siku zote mbona husemi jameni 😛😛Ungekuwa hujaolewa ningejitolea kukupa huduma kama shida yako niukubwa tu!
Baada ya kusema hayo, mheshimu mumeo!!!!
Laiti angejua..Wadau shalom,
Tunaelekea miezi 2 sasa tangu tuamie kwenye nyumba yetu, ni sehemu ambayo bado haijajengwa sana, nyumba nyingi bado hazijaisha ni masaiti yanayokaliwa na walinzi, mimi na mr wote tumeokoka pamoja na familia kwa ujumla, tunampenda Yesu.
Sasa katika moja ya masaiti haya kuna jengo moja halijaisha ni kama halina wakazi vile, ila hukaa kichaa mmoja anaekula majalalani na kushinda uchi, na hapo ndio njia yangu ya kupita kila siku, kila nikipita hapo hasa jioni sana nikitoka kazini huwa namkuta kichaa huyu akiwa anajichua bila aibu, anatema mate mkononi na kujipaka nyeti huku akilia kwa sauti kubwa.
Sasa nimeshtukia nashikwa hamu na hisia kali za kutaka kukutana na kichaa huyo, hasa nikimuona uchi, maana ana nyeti kubwa mno zenye kichwa kikubwa mno, hali hii inaweza kunikuta hata nikiwa kazini endapo nitamuwazia yule kichaa.
Sasa sijui ni kwasababu ya kumtazama sana au la nimeshtuka kumuona akianza tabia ya kuniita kwa ishara na kunioneshea nyeti zake, haishii hapo ameanza kufika na kwangu na kugonga geti, wakienda kufungua wanakuta ni yeye na haongei chochote anasimama tu hapo hata saa nzima ndipo anaenda na ni kila siku, mr anasema muacheni tu kwani ana madhara gani.
Ile hali ya kumtamani ndio naona kama inazidi siku hadi siku.
Je hili ni pepo au nini?Nimeomba sana lakini wapi.
Nifanye nini kuondokana na hali hii? Ili isije ikaleta matatizo yasiyotarajiwa.Nimeamua kulileta huku hili tatizo maana huku hamna kufahamiana.
Asanteni
Siku zote mbona husemi jameni 😛😛
Na hata akiwa ofisini anamuwaza.Kuna vitu unaavoid tu mwenyewe.Yaani unapita na kumkuta anajichua unaanza kumshangaa!!!....angekubaka???....kwanini hukubadili njia???....shetani anataka kukuangamiza....