Moja ya mambo ya msingi sana kuyatambua ktk ndoa ni namna ya kulishana chakula cha wakubwa, mnaandaana hadi unahisi mwili unataka kuwaka moto, mkipeana kwa ufundi, maarifa na ustadi wa haja, hadi raha. Ndoa inahitaji ubunifu wa hali ya juu, unammassage mkeo hadi anaweweseka kwa raha yaan!, sio kushikilia misimamo ya oooh tumeokoka ooooohhhh walokole sijui nin! nin!. Kuna watu hawajui hata namna ya kuchart tu na wenza wao~shida kubwa. Huyo kichaa anaivunja ndoa yako muda si mrefu mkuu, mkwepe, ikatae hiyo hali, hamishia hisia zako kwa mumeo vinginevyo utapotea