Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Aisee! Naona size ndio tatizo. Lakini kumbuka mumeo akijua hiyo reason utamfedhehesha na kimuathiri kisaikolojia.
 
umesema umeokoka lakini inaonekana bado wewe ni pepo,je katika maombi hayo huwa unamshirikisha mumeo au unaomba kimya kimya mwenyewe,kama kweli umeokoka mshirikishe mumeo kwenye maombi yako
Nimehisi kama we ndio pepo maana hata hekima huna,huwazi mwenzie atakavyojiskia?unaijua biblia vizuri kuhusu habari ya kiasi?Dada kama unaitaka bado hiyo ndoa acha mawazo ya kijinga.huo ni ujinga shetani anakuchekelesha uone kitu cha maana ukiabika utachekwa nahuyohuyo anaekutuma
Mmmh! ndugu yako hii ni kali sana unaanzaje kumtamani kichaa roho ya uzinzi sijui uasherati imejiinua kwako kupita maelezo unajua dhambi hii ipo juu ya miili yetu unaweza ukaikana .Na ibilisi nae kaamua kumtumia huyo hyo kichaa kuvunja ndoa yako hebu jikane inake nafsi yako jitoe kwenye hicho kifungo .Ni fedheha sana na aibu kubwa mmeo akija jua umemfanyia hayo haya katika wanaume wote hujaona ndiyo umemuona huyo chizi nakuhurumia sana .
Je una watoto? jitahidi kuwa mama bora , mke bora
 
Yaani unapita na kumkuta anajichua unaanza kumshangaa!!!....angekubaka???....kwanini hukubadili njia???....shetani anataka kukuangamiza....
 
We sio muoaji bana
Mhhh! haya bwana. ukiona na ukapima endapo utaoa ukahisi benefits<loss "ACHA". Au tunaoa kwasababu ya umri unakimbilia uzeeni? sasa nakuambia mwaka huu haupiti nitaanza kulala na shemeji yako kitanda kimoja!!!
 
vichaa wa kike mjini hutiwa mimba na watu wenye "akili timamu". hivyo sishangai na wewe mwenye "akili timamu" kumtaka huyo "mwenzio".
by the way, nahisi na wewe ni "kichaa" pengine chako kimezidi zaidi kuliko huyo unayrmtamani japokuwa wewe huvui nguo.
 
Wadau shalom

Tunaelekea miezi 2 sasa tangu tuamie kwenye nyumba yetu, ni sehemu ambayo bado haijajengwa sana, nyumba nyingi bado hazijaisha ni masaiti yanayokaliwa na walinzi, mm na mr wote tumeokoka pamoja na familia kwa ujumla, tunampenda yesu

Sasa katika moja ya masaiti haya kuna jengo moja halijaisha ni kama halina wakazi vile, ila hukaa kichaa mmoja anaekula majalalani na kushinda uchi, na hapo ndio njia yangu ya kupita kila siku, kila nikipita hapo hasa jioni sana nikitoka kazini huwa namkuta kichaa huyu akiwa anajichua bila aibu, anatema mate mkononi na kujipaka nyeti huku akilia kwa sauti kubwa

Sasa nimeshtukia nashikwa hamu na hisia kali za kutaka kukutana na kichaa huyo, hasa nikimuona uchi, maana ana nyeti kubwa mno zenye kichwa kikubwa mno, hali hii inaweza kunikuta hata nikiwa kazini endapo nitamuwazia yule kichaa, sasa sijui ni kwa sababu ya kumtazama sana au la nimeshtuka kumuona akianza tabia ya kuniita kwa ishara na kunioneshea nyeti zake, haishii hapo ameanza kufika na kwangu na kugonga geti, wakienda kufungua wanakuta ni yy na haongei chochote anasimama tu hapo hata saa nzima ndipo anaenda na ni kila siku, mr anasema muacheni tu kwani ana madhara gani

Ile hali ya kumtamani ndio naona kama inazidi siku hadi siku

Je hili ni pepo au nn?
Nimeomba sana lakini wapi

Nifanye nn kuondokana na hali hii? Ili isije ikaleta matatizo yasiyotarajiwa?
Nimeamua kulileta huku hili tatizo maana huku hamna kufahamiana

Asanteni

pole sana shoga ila kwanza nijibu, hivi wewe huna kichefuchefu? Utafanyaje kumsafisha? Kumyoa etc? Mbona mimi mm mwanaume ata kama ana cheo gani nikikuta ana ka dalili ka uchafu iwe nywele yeyote tofauti nakichwani mbona nahailisha zoezi, shoga wewe utaweza kwa kichaa huyo? Si ananuka???
 
Mhhh! haya bwana. ukiona na ukapima endapo utaoa ukahisi benefits<loss "ACHA". Au tunaoa kwasababu ya umri unakimbilia uzeeni? sasa nakuambia mwaka huu haupiti nitaanza kulala na shemeji yako kitanda kimoja!!!
We mwenyewe mbovu unatafuta mke mwema wa nini?unaogopa wanawake kwani wote wapo sawa?mbona we short coming kibao hapo bado watu wanakuvumilia?we sio muoaji kaa kando,
 
Nunua dildo.
Ukajitimizie mahitaji yako mwenyewe
Kwa raha zako bila ya mtu kujua.

Na kujiepusha na majanga yote haya .
Amekwbia anapata shida na nueti ya kichaa sio upuuzi wako huo.
 
Nawe jifanye kichaa umfuate kwenye hilo jumba ukampe ili nafsi yako ilidhike
 
huu mwaka natamani sana nioe!, ila ninapokutana na threads kama hizi huwa nachoka na kuregea kabisa. Sijui niarishe tu! kweli naamini TUNAOA KWA IMANI kama tulivyopokea wokovu! lasivyo mbele hatusongi!!!!. Nyeti hazina ukichaa: ukichaa wa mtu ni baadhi ya viungo tu! na wala si viungo vyote vimeathiriwa. inavyoonyesha kama umefuga nguruwe huko kwako basi utakuja kumtamani hata nguruwe kwakuwa ana dudu ndefu!!!!!!

Harisha tu mpendwaa kwani si unafua mwenyewe[emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
Labda tusaidie jambo moja,kwanini mlokole anaolewa?ni kwasababu zilezile ambazo mtu asie mlokole anaolewa sasa laajabu nini kuokoka na kutamani?shetani amewekwa kutujaribu na kutupepeta kama ngano na makapi,unasababu gani ya kimbeza ikiwa kinachomtokea hata mtu yoyote kinamtokea?
 
Pole sana, pili tengeneza mazingira ya kumchukia huyo kichaa kulingana na uchafu hata mwonekano na uamue kwa nafsi moja ya kutokumtizama. Kingine unapaswa kufanya ni kutengeneza njia nyingine ya kupita.
 
vichaa wa kike mjini hutiwa mimba na watu wenye "akili timamu". hivyo sishangai na wewe mwenye "akili timamu" kumtaka huyo "mwenzio".
by the way, nahisi na wewe ni "kichaa" pengine chako kimezidi zaidi kuliko huyo unayrmtamani japokuwa wewe huvui nguo.
Wanasema kila mtu ni kichaa ila tunatofautiana tu.
 
Inawezekana pia huridhishwi na mmeo tamaa imewaka kwako sana .Huyo kichaa atakubaka jitahidi kubadili njia au kujiweka mbali nae next time akija getini mmeo ndiye afungue amfokee au kumtishia huyo kichaa ataona hayo sio mazingira rafiki tena kwake.
Hivi huyo kichaa atambaka au atampa kwa ridhaa yake ,mtu kashaweka wazi kichaa ana dushe lenye kichwa kikubwa ,kama kapenda kwa kuona kwa macho ataacha kuipenda vipi kikimuingia kwa vitendo ?
 
Nahisi wewe pia utakuwa kichaa, la kichaa kinakunyemelea. Haiwezekani haya yakawa ni mapepo tu.
 
Pole sana, pili tengeneza mazingira ya kumchukia huyo kichaa kulingana na uchafu hata mwonekano na uamue kwa nafsi moja ya kutokumtizama. Kingine unapaswa kufanya ni kutengeneza njia nyingine ya kupita.
Hapo jambo la muhimu ni kubadili njia tu na kumuona huyo kichaa kama "takataka" (japo ulokole unafundisha upendo kati yetu).
 
Ukichunguza vizuri dada yangu utagundua kuwa wewe ndo kichaa ...ila yeye mzima
 
Back
Top Bottom