Wadau shalom
Tunaelekea miezi 2 sasa tangu tuamie kwenye nyumba yetu, ni sehemu ambayo bado haijajengwa sana, nyumba nyingi bado hazijaisha ni masaiti yanayokaliwa na walinzi, mm na mr wote tumeokoka pamoja na familia kwa ujumla, tunampenda yesu
Sasa katika moja ya masaiti haya kuna jengo moja halijaisha ni kama halina wakazi vile, ila hukaa kichaa mmoja anaekula majalalani na kushinda uchi, na hapo ndio njia yangu ya kupita kila siku, kila nikipita hapo hasa jioni sana nikitoka kazini huwa namkuta kichaa huyu akiwa anajichua bila aibu, anatema mate mkononi na kujipaka nyeti huku akilia kwa sauti kubwa
Sasa nimeshtukia nashikwa hamu na hisia kali za kutaka kukutana na kichaa huyo, hasa nikimuona uchi, maana ana nyeti kubwa mno zenye kichwa kikubwa mno, hali hii inaweza kunikuta hata nikiwa kazini endapo nitamuwazia yule kichaa, sasa sijui ni kwa sababu ya kumtazama sana au la nimeshtuka kumuona akianza tabia ya kuniita kwa ishara na kunioneshea nyeti zake, haishii hapo ameanza kufika na kwangu na kugonga geti, wakienda kufungua wanakuta ni yy na haongei chochote anasimama tu hapo hata saa nzima ndipo anaenda na ni kila siku, mr anasema muacheni tu kwani ana madhara gani
Ile hali ya kumtamani ndio naona kama inazidi siku hadi siku
Je hili ni pepo au nn?
Nimeomba sana lakini wapi
Nifanye nn kuondokana na hali hii? Ili isije ikaleta matatizo yasiyotarajiwa?
Nimeamua kulileta huku hili tatizo maana huku hamna kufahamiana
Asanteni