[emoji3][emoji3][emoji3]Simu kitu gani bwana kama umependa? Siku hizi zipo simu mpaka za $100, kama unapendapenda mademu vunja kibubu ingia Kariakoo.
Kwa $500 unaweza kupata hadi simu 7 tena zenye snap chat.. Nunua na laini zake kabisa, full charge na vocha za kianzio, weka kwenye kibegi chako, ukikutana na mzigo ukakwambia hauna simu unachomoa tu moja na kumpatia
[emoji3][emoji3] mi huwa nawaambia nataka namba sio simu.. akikaza nampa business card.hahaha namba! sio simu
Mkuu umetisha sana πππππSiku hizi hizi Kama huna hela ni bora kununua Malaya tu mapenzi ni biashara inayohitajj mtaji mkubwa
Tafuta hela. watakuomba namba wenyeweWiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu.
[emoji117]
MaMen tunafanyaje katika hilo suala najua tupo wengi[emoji116]