Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
[emoji3][emoji3][emoji3]Simu kitu gani bwana kama umependa? Siku hizi zipo simu mpaka za $100, kama unapendapenda mademu vunja kibubu ingia Kariakoo.
Kwa $500 unaweza kupata hadi simu 7 tena zenye snap chat.. Nunua na laini zake kabisa, full charge na vocha za kianzio, weka kwenye kibegi chako, ukikutana na mzigo ukakwambia hauna simu unachomoa tu moja na kumpatia