Nimeomba namba ya simu kwa binti akanijibu hana simu

Nimeomba namba ya simu kwa binti akanijibu hana simu

Simu kitu gani bwana kama umependa? Siku hizi zipo simu mpaka za $100, kama unapendapenda mademu vunja kibubu ingia Kariakoo.

Kwa $500 unaweza kupata hadi simu 7 tena zenye snap chat.. Nunua na laini zake kabisa, full charge na vocha za kianzio, weka kwenye kibegi chako, ukikutana na mzigo ukakwambia hauna simu unachomoa tu moja na kumpatia
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
hahaha namba! sio simu
[emoji3][emoji3] mi huwa nawaambia nataka namba sio simu.. akikaza nampa business card.

Asiponitafuta sawa na akinitafuta ni uhakika [emoji817]% lazima aliwe.
 
Wiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu.
[emoji117]

MaMen tunafanyaje katika hilo suala najua tupo wengi[emoji116]
Tafuta hela. watakuomba namba wenyewe
 
Back
Top Bottom