Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Vijana wanapenda vitongaa na utelezi wa bure.. kugharmia hawataki[emoji31][emoji31][emoji31][emoji23][emoji23][emoji23]hahaaahaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wanapenda vitongaa na utelezi wa bure.. kugharmia hawataki[emoji31][emoji31][emoji31][emoji23][emoji23][emoji23]hahaaahaaa
Siku hizi hizi Kama huna hela ni bora kununua Malaya tu mapenzi ni biashara inayohitajj mtaji mkubwasonga mbele mkuu.
Ni kawaida sana pisi zikiwa in 20's huwa na hayo mapigo ila wakifika 30's wanatamani wabandike namba zao za simu kwenye mabango.
Kuna mawili aidha hataki kukupa namba yake au anataka umnunulie sim anakujaribu 😀Wiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu.
[emoji117]
MaMen tunafanyaje katika hilo suala najua tupo wengi[emoji116]
Hakuna cha bure hawajuiVijana wanapenda vitongaa na utelezi wa bure.. kugharmia hawataki
Kwamba Wanaadamu pia tunaongea kwa misimbo, aka mafumbo, huyu demu amemkataaa mwamba kwa mafumboNipe maana alikusudia nini huyu mwamba
Na gharama zenyewe huanzia hukuVijana wanapenda vitongaa na utelezi wa bure.. kugharmia hawataki
Mzee haya unayoandika ni matusi kwa graduates wengi, mtu hana pakuanzia life leo unasema anunue simu za $500 si mtaji huo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simu kitu gani bwana kama umependa? Siku hizi zipo simu mpaka za $100, kama unapendapenda mademu vunja kibubu ingia Kariakoo.
Kwa $500 unaweza kupata hadi simu 7 tena zenye snap chat.. Nunua na laini zake kabisa, full charge na vocha za kianzio, weka kwenye kibegi chako, ukikutana na mzigo ukakwambia hauna simu unachomoa tu moja na kumpatia
Wanaofaidi mapenzi siku hizi ni wastaafu wengine tunafukuza mwenge tuMzee haya unayoandika ni matusi kwa graduates wengi, mtu hana pakuanzia life leo unasema anunue simu za $500 si mtaji huo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu mwamba hachomoki aki tenaNa gharama zenyewe huanzia hukuView attachment 1886662
Tafuta pesa chief.Siku hizi hizi Kama huna hela ni bora kununua Malaya tu mapenzi ni biashara inayohitajj mtaji mkubwa
Ni hatua ya maisha ambayo wote tulipitia [emoji23]...kijijini kuna blaza alikula sana mademu wetu kisa tu alikuwa na kaduka. Kamgahawa na baiskeli 5 za kukodishaMzee haya unayoandika ni matusi kwa graduates wengi, mtu hana pakuanzia life leo unasema anunue simu za $500 si mtaji huo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huyu km zimesoma nyingi, huyu tunampa tu samsung A20Na gharama zenyewe huanzia hukuView attachment 1886662
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyani Ngabu sema na dada zakoHii tabia wanayo sanaa wanawake wa kisukumaa, yaan utafikiri wanaambizana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]simu yangu yenyewe imefungwq rababendi