Nimeomba namba ya simu kwa binti akanijibu hana simu

Nimeomba namba ya simu kwa binti akanijibu hana simu

Wiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu.
[emoji117]

MaMen tunafanyaje katika hilo suala najua tupo wengi[emoji116]
Kuna mawili aidha hataki kukupa namba yake au anataka umnunulie sim anakujaribu 😀
 
Vijana wanapenda vitongaa na utelezi wa bure.. kugharmia hawataki
Na gharama zenyewe huanzia huku
IMG-20210809-WA0129.jpg
 
Amekusaidia sana, pesa ya vocha kula kiepe yai bro isitoshe atakuwa anakufahamu uhusikaji wako katika ile nyimbo ya ivon machaka sangoma.
 
Simu kitu gani bwana kama umependa? Siku hizi zipo simu mpaka za $100, kama unapendapenda mademu vunja kibubu ingia Kariakoo.

Kwa $500 unaweza kupata hadi simu 7 tena zenye snap chat.. Nunua na laini zake kabisa, full charge na vocha za kianzio, weka kwenye kibegi chako, ukikutana na mzigo ukakwambia hauna simu unachomoa tu moja na kumpatia
Mzee haya unayoandika ni matusi kwa graduates wengi, mtu hana pakuanzia life leo unasema anunue simu za $500 si mtaji huo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzee haya unayoandika ni matusi kwa graduates wengi, mtu hana pakuanzia life leo unasema anunue simu za $500 si mtaji huo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaofaidi mapenzi siku hizi ni wastaafu wengine tunafukuza mwenge tu
 
Mzee haya unayoandika ni matusi kwa graduates wengi, mtu hana pakuanzia life leo unasema anunue simu za $500 si mtaji huo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni hatua ya maisha ambayo wote tulipitia [emoji23]...kijijini kuna blaza alikula sana mademu wetu kisa tu alikuwa na kaduka. Kamgahawa na baiskeli 5 za kukodisha
 
Back
Top Bottom