Nimeombwa hela na mwanafunzi

Nimeombwa hela na mwanafunzi

Inawezekana kweli mtoto anamchukulia ivo, ila sio tabia ya kuiendekeza kwa mtoto wa kike form 2 kuombaomba pesa
ni kweli kabisa sio tabia nzuri ila nimeona mara nyingi tabia ya kuomba vitu vidogo huwa wanaiga kwa mzazi wa kike ingawa mara nyingine huwa wanajifunza shuleni kwa wenzao walioshindikana.
Mimi binafsi mtoto wa kuanzia form 4 kushuka huwa namchukulia kama mtoto anayehitaji msaada bila kutegemea fadhila kutoka kwake moja kwa moja.
Ingawa kuna muda wakiona wanakuomba misaada midogo na wewe unachukulia ustaarabu, wanakuona kama ni mtu ambaye hujiongezi.
 
Sasa tatizo nn hapo, mbn ubinadamu umewaisha siku hizi? unawaza nn sasa
Ni huo ujasiri mkuu, mafunzo mengi ya sasa yanawaasa watoto utowazoea watu.....wanaambiwa ht wakipewa wasipokee. Sasa huyu anaomba kbs!!!!

Sitanii hili tukio, mi ni muislamu ninaapa 'Wallah Wabillah' limetokea!
 
ni kweli kabisa sio tabia nzuri ila nimeona mara nyingi tabia ya kuomba vitu vidogo huwa wanaiga kwa mzazi wa kike ingawa mara nyingine huwa wanajifunza shuleni kwa wenzao walioshindikana.
Mimi binafsi mtoto wa kuanzia form 4 kushuka huwa namchukulia kama mtoto anayehitaji msaada bila kutegemea fadhila kutoka kwake moja kwa moja.
Ingawa kuna muda wakiona wanakuomba misaada midogo na wewe unachukulia ustaarabu, wanakuona kama ni mtu ambaye hujiongezi.
Ni kweli ndugu, umeongea vema!
 
Umeombwa Mia 5 umepandisha uzi jf, we ukiombwa laki unaenda cnn kutangaza
Hapana, lengo si kukazungumzia hako ka mia tank....yanatutokea hayo kila Siku. Hoja ya hp ni ya uanafunzi, tena kike+kuomba+sbb ya kuomba+mazingira yalivyofanyika maombi+jinsia inayoombwa+hali ya dunia ya sasa!
 
Kwa miaka 35 mtoto wa form 2 ni mwanao kabisa, amekuchukulia kama baba yake na hauna madhara tena kwake.
Tembea kifua mbele kwa kupata heshima unayostahili.
Ungekuwa baharia wa miaka 21 asingethubutu.
Na iwe hivyo kwakweli....ahsante!
 
Mkuu jichunguze tena hivi jero tu tena la samaki linataka kukuaminisha binti anajilengesha.
Nadhani ka bint kawatu kameshindwa kuvumilia harage la kila siku

Muda utatoa majibu hebu tusubiri pengine tunaweza toa hukumu ya uonevu
 
Binti anaona huyu ni Baba anaefaa kuomba msaada lakini jamaa huwenda anawaza binti anajilengesha!
Hapana, sijafika sana huko lkn lazima niutafakari huu ujasiri..........na ameomba wangapi?
 
Mkuu jichunguze tena hivi jero tu tena la samaki linataka kukuaminisha binti anajilengesha.
Nadhani ka bint kawatu kameshindwa kuvumilia harage la kila siku

Muda utatoa majibu hebu tusubiri pengine tunaweza toa hukumu ya uonevu
Hata sina tatizo.....hofu tu kwa wasichana wetu hawa maana haijulikani kesho atamuomba nani? Una bint mkuu?
 
Yaani umeombwa hela na mtoto mdogo halafu unashangaa?!! Kwani ni ajabu watoto kuomba hela?!Una akili timamu mkuu?
Fikiria vzr mkuu, utakuja kugundua hilo swali ulilouliza linakurudia
 
Back
Top Bottom