stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 519
Mada na argurments zako mkuu......Kwa maana hiyo miaka sifai kitwa MTU mzima au mada na arguments zangu zinatia shaka km ni mtu nzima?!!! Yaani nimedanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada na argurments zako mkuu......Kwa maana hiyo miaka sifai kitwa MTU mzima au mada na arguments zangu zinatia shaka km ni mtu nzima?!!! Yaani nimedanganya
Kuna mmoja aliniambia "shikamoo naomba mia mbili" aisee ilibidi nimuulize maswali jaba zima na semina juu.Nilichojifunza wengi ndo mtindo wao huo.wapo wanafunzi wa dizain hiyo..mimi wakati nipo form 1 nilikua na rafiki angu alikuaga anakula ela yote shule alafu mda wa kuondoka anamuomba mtu yoyote atakaemuona mladi ni mwanaume ata akute mkaka amepaki bajaji anamsogelea anamuomba ata mia tatu yaan tulikua tunamshangaa sana.