Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndiyo mnaoharibu watoto na kuwaendekeza unampaje hiyo hela yote wakati amekuomba 500 ya nauli kama mtu mzima kwanini ukumuombea kwa konda au dereva kumpa lifiti au kamlipia nauli moja kwa moja ukaondoka zako......[emoji23][emoji23]hata me nilishawahi kuombwa na mtoto stend ya makumbusho iikuwa saa kumi na mbili jioni,kavaa uniform na hijab kaniamkia akaniambia naomba nauli sina nimepoteza nikamuuliza unakaa wapi akasema gongo la mboto,nikaomba chenji kwa wauza vinywaji wale ya elfu kumi nikampa elfu 5 akasema asante huyooo akaenda zake.
Nikutoa tu kama sadaka,Na kumchukulia kama mdogo wako. Sasa jamaa hapo juu kaona dogo kajilengesha
Sidhani kama ana sababu yoyote ya kufanya hivyo!Jiandae kuporomoka kiuchumi.
Hiyo pesa uliyoitoa ndio itakayoenda kufanyiwa madawa urogwe.
Sawa na mtu aombe umuazime au umpe nguo yako labda anaenda kwenye sherehe maalum au lah, hizo nguo zitaenda kufanyiwa madawa hatimaye utapata maradhi yasiyotibika au kufungwa usifanikiwe kwa lolote.
Jiandae kisaikolojia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Katika ulimwengu wa roho namuona kijana mmoja wa jf akiwa amevaa sare za magereza.
Kuna muda una maakili mengiiYuko mwanaume tu?! Watoto wadogo hawajui tofauti kati ya wanaume na wanawake, wao wanajua wanaume ni Baba zao,wajomba wao na kaka zao!
Kuna muda una maakili mengii
Ungempa na rangi kabisa au hata kapicha ka kusindikizaKatika ulimwengu wa roho namuona kijana mmoja wa jf akiwa amevaa sare za magereza.
Kwa nini eti jamaniHivi nilikukosea nini?
ohoo!1 kumbe mnajuana vizuri kabisa.nilimuuliza na ninamfahamu maana nafahamu mengi tu kuhusu hii shule kwani ipo karibu mno nami japo yeye sijui kama ananijua
Mtoto wa kike kupiga hodi kwa mtu asiyemuhusu tena me ati anaomba hela Bado wewe huoni tatizo hapo!! Mungu wangu wewe huoni jipya niishie hapo.Sasa tatizo nn hapo, mbn ubinadamu umewaisha siku hizi? unawaza nn sasa
Kabisa Mungu amsaidie maana ndio mitihani yenyewe hiiKatika ulimwengu wa roho namuona kijana mmoja wa jf akiwa amevaa sare za magereza.
Usimchekee huyo miaka 30 inakunyemeleaHabarini!
Kuna jambo limenitokea, linanipa maswali na mshangao kiasi.
Ninakaa jirani na shule, jirani sana tu. Ni mtu mzima mimi.......35 yrs. Kwa sasa shule nyingi zipo ktk makambi kwa vidato vya 2 na 4, hii ni mojawapo pia.
Jioni ya leo, nikiwa sina hili wala lile nimepumzika tu nasikia hodi ikigongwa. Nilipomruhusu aingie bs alikuwa n mwanafunzi flan wa kidato cha pili aliamkia na kisha akaniomba tshs 500/=. Nilipigwa na bumbuazi kupita maelezo lkn nikajifanya sina nilichokishangaa. Nikamuuliza unataka kununua nn akajibu anataka kununua samaki alie ugali (akilini nilitegemea nisikie peni au daftari). Nikampa tshs. 2000/=. Aliipokea haraka, akashukuru kisha huyo haraka akaondoka.
Bandugu, tangu muda huo nimetafakari mara kutafakari ujasiri wa huyo binti bado sijapata majibu mpaka nimemua nifanye sharing nanyi kisa hiki.
hapana yaani nimemaanisha nafahamu tu kama ni kidato cha pili kutokana na uzoefu wangu wa kuishi hapa karibu na shule......nina marafiki ambao ni walimu pia hivyo siku wakideal na kidato cha pili huwa namuona huyo binti hivyo sina shaka katika hiloohoo!1 kumbe mnajuana vizuri kabisa.
Hapana mkuu anagonga na anabaki salama tuuKatika ulimwengu wa roho namuona kijana mmoja wa jf akiwa amevaa sare za magereza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baby sponsor kumbe una akili sometimes!