OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Sema nin mkuu lazima ustuke? From no where kakunyookea tu bila hata ya kukujua then anakuomba mia tano dah!! Hata mim ningestuka ila ningechukulia poa tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Form two sio mtoto mdgo kivile...Yuko mwanaume tu?! Watoto wadogo hawajui tofauti kati ya wanaume na wanawake, wao wanajua wanaume ni Baba zao,wajomba wao na kaka zao!
Ni kweli kbsSema nin mkuu lazima ustuke? From no where kakunyookea tu bila hata ya kukujua then anakuomba mia tano dah!! Hata mim ningestuka ila ningechukulia poa tu...
Hata kama, lkn hii inahitaji tafakuri kdg kwa mustakabali Wa ustawi wakeAsa wewe labda umefikiria nini? Na istoshe yeye amekuona ni kama babaake ndo maana amekuja akihtaj msaada huo!
We mkuu unawaza ngono tu akilini mwako, nyie ndo hamchelewi kusema watoto wa siku hizi! Ukiendelea kuwa na mawazo fyatu kama hayo utaishia gerezani.
Yeye anawaza kugegeda tu.Sasa huyo Denti huwa anakuona Na.ni jirani.Njaa imemuua asikuombe? Tena tena tena Elfu 10 kila wiki mpaka kambi ya kusoma itakapoisha pia Na wewe ndo mchango wakoYaani umeombwa hela na mtoto mdogo halafu unashangaa?!! Kwani ni ajabu watoto kuomba hela?!Una akili timamu mkuu?
Alikuomba kimapenzi? Kumpa kwako kuna uhusiano gani na jukwaa hili la Mapenzi na urafiki? Unadhani adhabu ya miaka 30 imepungua?Habarini!
Kuna jambo limenitokea, linanipa maswali na mshangao kiasi.
Ninakaa jirani na shule, jirani sana tu. Ni mtu mzima mimi.......35 yrs. Kwa sasa shule nyingi zipo ktk makambi kwa vidato vya 2 na 4, hii ni mojawapo pia.
Jioni ya leo, nikiwa sina hili wala lile nimepumzika tu nasikia hodi ikigongwa. Nilipomruhusu aingie bs alikuwa n mwanafunzi flan wa kidato cha pili.......aliamkia na kisha akaniomba tshs 500/=. Nilipigwa na bumbuazi kupita maelezo lkn nikajifanya sina nilichokishangaa. Nikamuuliza unataka kununua nn akajibu anataka kununua samaki alie ugali (akilini nilitegemea nisikie peni au daftari). Nikampa tshs. 2000/=. Aliipokea haraka, akashukuru kisha huyo haraka akaondoka.
Bandugu, tangu muda huo nimetafakari mara kutafakari ujadiri wa huyo binti bado sijapata majibu mpaka nimemua nifanye sharing nanyi kisa hiki.....
Si kama Baba? Au umewaza niniMtoto wa kike form 2 anagonga kuingia ndani kuomba 500?
Tena ni nyumba anayojua yuko mwanaume tu.
Yaani umeombwa hela na mtoto mdogo halafu unashangaa?!! Kwani ni ajabu watoto kuomba hela?!Una akili timamu mkuu?
Yaani huyu Dingi vipi.Binti anaona huyu ni Baba anaefaa kuomba msaada lakini jamaa huwenda anawaza binti anajilengesha!
Sijui wengine mnawaza nini.Ugali Na mandondo sometimes unachosha Na ni wananchi sisi wenyewe tunaochangia hayo makambi ya masomo chakula.Akaona Samaki wa kalumagia je ni kosa kukuomba? Mbona ulimpa sasaInawezekana kweli mtoto anamchukulia ivo, ila sio tabia ya kuiendekeza kwa mtoto wa kike form 2 kuombaomba pesa
Si kama Baba? Au umewaza nini
Dunia hii jamani
So unaona alikuwa Na good faith.Ulipompa akashukuru akaondoka
😀 😀 😀😀Katika ulimwengu wa roho namuona kijana mmoja wa jf akiwa amevaa sare za magereza.
Kwa hiyo ? Sasa ni wakati Wababa Na wajaka mjifunzeMkuu, hii dunia mwanao ni wa kumzaa tu.
Na ukimlea mwanao kwa kigezo kwamba atalelewa na wenye umri sawa na wako kwa kigezo cha ubaba, utafeli.
Kwa hiyo ? Sasa ni wakati Wababa Na wajaka mjifunze
Kuna miaka 30
Hilo ni jukumu kuwalinda