yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
Ha ha haaaa! Hapana.Katika ulimwengu wa roho namuona kijana mmoja wa jf akiwa amevaa sare za magereza.
ni kweli kabisa sio tabia nzuri ila nimeona mara nyingi tabia ya kuomba vitu vidogo huwa wanaiga kwa mzazi wa kike ingawa mara nyingine huwa wanajifunza shuleni kwa wenzao walioshindikana.Inawezekana kweli mtoto anamchukulia ivo, ila sio tabia ya kuiendekeza kwa mtoto wa kike form 2 kuombaomba pesa
Ni huo ujasiri mkuu, mafunzo mengi ya sasa yanawaasa watoto utowazoea watu.....wanaambiwa ht wakipewa wasipokee. Sasa huyu anaomba kbs!!!!Sasa tatizo nn hapo, mbn ubinadamu umewaisha siku hizi? unawaza nn sasa
Ni kweli ndugu, umeongea vema!ni kweli kabisa sio tabia nzuri ila nimeona mara nyingi tabia ya kuomba vitu vidogo huwa wanaiga kwa mzazi wa kike ingawa mara nyingine huwa wanajifunza shuleni kwa wenzao walioshindikana.
Mimi binafsi mtoto wa kuanzia form 4 kushuka huwa namchukulia kama mtoto anayehitaji msaada bila kutegemea fadhila kutoka kwake moja kwa moja.
Ingawa kuna muda wakiona wanakuomba misaada midogo na wewe unachukulia ustaarabu, wanakuona kama ni mtu ambaye hujiongezi.
Ahsante, nimeunyaka ushauriMtoto alikua na shida na umefanya la maana kumsaidia ila usimzoeshe utakipata kitu.
Ha ha haaa! Sawakama unayo unampa hata buku kumi afu unamwambia usizoee sana kumbuka kuna mimba.
Hapana, lengo si kukazungumzia hako ka mia tank....yanatutokea hayo kila Siku. Hoja ya hp ni ya uanafunzi, tena kike+kuomba+sbb ya kuomba+mazingira yalivyofanyika maombi+jinsia inayoombwa+hali ya dunia ya sasa!Umeombwa Mia 5 umepandisha uzi jf, we ukiombwa laki unaenda cnn kutangaza
Ahsante mkuu, umeiona hofu yangu!Inawezekana kweli mtoto anamchukulia ivo, ila sio tabia ya kuiendekeza kwa mtoto wa kike form 2 kuombaomba pesa
Ha ha ha haaNi mtoto, lakini siyo mtoto mdogo.
Na iwe hivyo kwakweli....ahsante!Kwa miaka 35 mtoto wa form 2 ni mwanao kabisa, amekuchukulia kama baba yake na hauna madhara tena kwake.
Tembea kifua mbele kwa kupata heshima unayostahili.
Ungekuwa baharia wa miaka 21 asingethubutu.
Anacho kiwaza tumuombee Mungu kisimfikishe kwa Pilato... Sasa ni mwendo wa 30 Years in jail... Gaamutuu zake..Sasa tatizo nn hapo, mbn ubinadamu umewaisha siku hizi? unawaza nn sasa
Hapana, sijafika sana huko lkn lazima niutafakari huu ujasiri..........na ameomba wangapi?Binti anaona huyu ni Baba anaefaa kuomba msaada lakini jamaa huwenda anawaza binti anajilengesha!
Hata sina tatizo.....hofu tu kwa wasichana wetu hawa maana haijulikani kesho atamuomba nani? Una bint mkuu?Mkuu jichunguze tena hivi jero tu tena la samaki linataka kukuaminisha binti anajilengesha.
Nadhani ka bint kawatu kameshindwa kuvumilia harage la kila siku
Muda utatoa majibu hebu tusubiri pengine tunaweza toa hukumu ya uonevu
Hapo sasa!Mtoto wa kike form 2 anagonga kuingia ndani kuomba 500?
Tena ni nyumba anayojua yuko mwanaume tu.
Kwa maana hiyo miaka sifai kitwa MTU mzima au mada na arguments zangu zinatia shaka km ni mtu nzima?!!! Yaani nimedanganyaAcha uongo wewe si mtu mzima.....
Fikiria vzr mkuu, utakuja kugundua hilo swali ulilouliza linakurudiaYaani umeombwa hela na mtoto mdogo halafu unashangaa?!! Kwani ni ajabu watoto kuomba hela?!Una akili timamu mkuu?