Nimeombwa hela na mwanafunzi

Nimeombwa hela na mwanafunzi

Kua makini sana, umetoa kwa nia njema, ila wema unaweza kukuponza...

Kwa style hiyo unaweza kubambikiziwa mambo ambayo hujafanya...

Anaweza ulizwa pesa amepata wapi, akakutaja... naimani unajua kitakachofuata hapo...

Cc: mahondaw
 
Sawa kbs
 
Mimi naona ni issue ya kawaida tu unamsaidia anaenda zake. Unataka amuombe nani wakati wewe ndio ulikuwa karibu wakati huo ana shida. Acha mawazo potovu
 
wapo wanafunzi wa dizain hiyo..mimi wakati nipo form 1 nilikua na rafiki angu alikuaga anakula ela yote shule alafu mda wa kuondoka anamuomba mtu yoyote atakaemuona mladi ni mwanaume ata akute mkaka amepaki bajaji anamsogelea anamuomba ata mia tatu yaan tulikua tunamshangaa sana.
Kuna mmoja aliniambia "shikamoo naomba mia mbili" aisee ilibidi nimuulize maswali jaba zima na semina juu.Nilichojifunza wengi ndo mtindo wao huo.
 
Bora kaomba..njaa ya boarding plus utoto sio salama.

Back in days, tulikuwa tunamvizia Father katoka sacristy, tunanenda kuiba vimkate na divai ambavyo havija barikiwa tunakula.
 
Back
Top Bottom