Nimeombwa hela ya kusukia

Nimeombwa hela ya kusukia

Umalaya gani hapo sasa,na.huyo aliyekutongoz sio malaya,km uwez pita kushoto
nani ataoa demu anayepiga simu mara 67kuomba hela ya saloon wakati mmekutana jana ,nyie ndio mnamsumbua Mungu kuwa mnatafuta wacgumba kumbe hamjui mnawakimbiza wenyewe huo ni umalaya
 
Mpenzi wa nani jamaa?
nani ataoa demu anayepiga simu mara 67kuomba hela ya saloon wakati mmekutana jana ,nyie ndio mnamsumbua Mungu kuwa mnatafuta wacgumba kumbe hamjui mnawakimbiza wenyewe huo ni umalaya
na ndoman kuna makundi mengi,km unaona umalaya katafute malaika,umalaya,umalaya kwan kipi cha ajabu kuombwa ela au,na je huyo angetak sex je asingo kuwa malaya au una hamu ya kusema,
 
mwambie aje jioni kuchukua,hakikisha unagegeda kwanza kabla ya kumpa

Kwa hiyo unafikiri hiyo ndo itakuwa shughuli nzito kwake????, we mwomba ushauri achana na huyo bana, usikurupuke tena kufanya jambo kama hilo.

jiridhishe kwanza na unayetaka kumtongoza. Don't just take ANY
 
na ndoman kuna makundi mengi,km unaona umalaya katafute malaika,umalaya,umalaya kwan kipi cha ajabu kuombwa ela au,na je huyo angetak sex je asingo kuwa malaya au una hamu ya kusema,
tatizo sio kuombwa hela tatizo aprroach,umekutana nae lini?kwa nini umpigie simu 67 kulazimisha hela huo ni umalaya tu
 
Elfu30 ni nini! Elfu30 ni hela nayo!? Wanaume wanaisha wanabaki wavulana tu Kazi kulalamika siku nzima. Uanaume ni majukumu na kumtunza mwenza wako ni moja ya majukumu ya mwanaume kamili au unataka utunzwe wewe angalia usije chumbiwa.
 
sasa alichofanya kosa ni kumuhaidi km atampa,lkn km angemwambia sina sidhan km angemsumbua,alafu na ww umekazan umalaya,huna neno lingine..usiku mwem
 
Hahahaha waambie hao
 
sasa alichofanya kosa ni kumuhaidi km atampa,lkn km angemwambia sina sidhan km angemsumbua,alafu na ww umekazan umalaya,huna neno lingine..usiku mwem
sasa ndio upige mara 67 haya basi tuseme ni njaa sio umalaya
 
Bwana wewe km mkono wako ni wa birika itabid utafute saizi yako,maan hapa tutakesha,ndio njaa unategemea hiyo nguvu ataipata wapi bila kushiba?
 
nguvu ya nini hata mzigo sijala unaataka nini,subiri nile mzigokata viuno huna haajaa ya kuniomba nitakupa mwenyewe au hata ukiomba sawa kalakini hata sura sijaikariri eti naomba elfu 30 njaa mbaya dadazetu mtakufa cha mtu mavi
 
Kama hata elfu30 bado inakupiga chenga ni bora ukawekeza nguvu na muda zaidi kwenye kujenga maisha yako badala ya kusumbua watoto wa watu. Itakuwa hata nauli ya bus ulilipiwa wewe, chunga tu usije chumbiwa wewe
 
nguvu ya nini hata mzigo sijala unaataka nini,subiri nile mzigokata viuno huna haajaa ya kuniomba nitakupa mwenyewe au hata ukiomba sawa kalakini hata sura sijaikariri eti naomba elfu 30 njaa mbaya dadazetu mtakufa cha mtu mavi
We vepe?bdo tu uwachi,
 
mkuu mwambie ulipo aje kuchukua ila mazingira yaruhusu kufinya usiwe popo
 
Back
Top Bottom